Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Nasikia Kanumba alijiimbia nyimbo ya Mazishi na haikupita miezi akaenda... Huyu amejitabilia kufilisika, ngoja tuone..

Umenikumbusha enzi za marehem Kanumba...
Ndio ajipange kabla hayajamkuta sasa...asije kuwa ka kina Mr Nice.
 
Umenikumbusha enzi za marehem Kanumba...
Ndio ajipange kabla hayajamkuta sasa...asije kuwa ka kina Mr Nice.

Pesa na mvuto wa maruhani una shida sana.. Ukikosea kidogo tu wanakuja chukua chao. Weka hii post kwenye kumbukumbu utakuja kunambia..
 
Pesa na mvuto wa maruhani una shida sana.. Ukikosea kidogo tu wanakuja chukua chao. Weka hii post kwenye kumbukumbu utakuja kunambia..

wenzio walianza kutabiri huu utabiri wako uchwala miaka mitatu iliyopita ila mpaka leo utabiri wao haujatimia!!sasa naona wewe umemjua Diamond juzi au mwaka jana mwishoni

Utasubiri sana,utatabiri sana kushuka kwake lakini hautokuona,endelea kutoa mifano mbalimbali yote unayoijua lakini Unachokitegemea hautokuja kukiona mpaka unakufa
 
Sema hakyamungu??
 
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?

Sasa kama alimsaidia ndo aendekeze ujinga? Mara ngapi kabebwa na tumeona? Ebu acha kutetea upuuzi, kama yeye ndo kamtoa yeye alishindwa nn kujitoa awe kama diamond
 
Mie kuna mtu nilisikia anaongelea hii Dai na Rommy wametofautiana.

Maana zamani Rommy alikua anasafiri na Dai karibu kila sehem ila siku hizi yuko mwenyewe mwenyewe tu......,

Huyo rommy nae ajipange atafuatana na diamond mpak lini? Eeh kuwa ndugu ndio iwe shida, ebu atafute njia zake na yeye kabebwa vya kutosha
 
Pesa na mvuto wa maruhani una shida sana.. Ukikosea kidogo tu wanakuja chukua chao. Weka hii post kwenye kumbukumbu utakuja kunambia..

Haaaaaaa usinichekeshe mie unataka kusema kwamba Diamond pesa zake za maruhani

Yale yale ya King Kong III na mama Diamond
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaa usinichekeshe mie unataka kusema kwamba Diamond pesa zake za maruhani

Yale yale ya King Kong III na mama Diamond

Tulia we lisome picha tu... Huwa wanazimikaga kama taa.. Masharti magumu wewe na unapodondokea ni padogo sana..
 
Last edited by a moderator:
Napenda hapo coz kamchana live tunawajua amchelew kubadilika nyie
 
Huyo rommy nae ajipange atafuatana na diamond mpak lini? Eeh kuwa ndugu ndio iwe shida, ebu atafute njia zake na yeye kabebwa vya kutosha

Haaaa alianza biashara ya kupost Matangazo kwenye akaunti yake.. sijui imeishia wapi

Inabidi aendelee kumshukuru Diamond maana anasemaga bila yeye hata Pasport yake isingekua imejaa mihuri ya nchi mbali mbali
 
Nae ajitegemee Heee ndo nini hadi guest house alipiwe na ndugu yake, na ajue mwenzie sahivi ana familia mambo lazma yabadilike kama hataki kujitegemea akakae kwa wema sepetu
 
Nae ajitegemee Heee ndo nini hadi guest house alipiwe na ndugu yake, na ajue mwenzie sahivi ana familia mambo lazma yabadilike kama hataki kujitegemea akakae kwa wema sepetu

Wema si mama huruma,alikua anampampa vihela vya maana kidogo na yeye anapata kuhonga!sasa Zari bahili mbaya!!unaambiwa pesa yake haitoki bila sababu za msingi.

Ndio maana unaona Romy anataka sana Diamond arudiane na Wema ili aendelee kuvuna huku na huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…