Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Tafuta mtu wa pale Azikiwe akupe habari... Kijana pesa sijui kahamishia SA au vipi
Haaa atakua yule Mama wa Uganda kaifilisi hiyo account basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mtu wa pale Azikiwe akupe habari... Kijana pesa sijui kahamishia SA au vipi
Haaa atakua yule Mama wa Uganda kaifilisi hiyo account basi
Je utampenda??
It depends....
ila Keshamwambia akisali asali sana mumewe asije kuwa kichekesho
Nasikia Kanumba alijiimbia nyimbo ya Mazishi na haikupita miezi akaenda... Huyu amejitabilia kufilisika, ngoja tuone..
Umenikumbusha enzi za marehem Kanumba...
Ndio ajipange kabla hayajamkuta sasa...asije kuwa ka kina Mr Nice.
Pesa na mvuto wa maruhani una shida sana.. Ukikosea kidogo tu wanakuja chukua chao. Weka hii post kwenye kumbukumbu utakuja kunambia..
wenzio walianza kutabiri huu utabiri wako uchwala miaka mitatu iliyopita ila mpaka leo utabiri wao haujatimia!!sasa naona wewe umemjua Diamond juzi au mwaka jana mwishoni
Utasubiri sana,utatabiri sana kushuka kwake lakini hautokuona,endelea kutoa mifano mbalimbali yote unayoijua lakini Unachokitegemea hautokuja kukiona mpaka unakufa
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
Mie kuna mtu nilisikia anaongelea hii Dai na Rommy wametofautiana.
Maana zamani Rommy alikua anasafiri na Dai karibu kila sehem ila siku hizi yuko mwenyewe mwenyewe tu......,
Pesa na mvuto wa maruhani una shida sana.. Ukikosea kidogo tu wanakuja chukua chao. Weka hii post kwenye kumbukumbu utakuja kunambia..
Sema hakyamungu??
Haaaaaaa usinichekeshe mie unataka kusema kwamba Diamond pesa zake za maruhani
Yale yale ya King Kong III na mama Diamond
Sema mwenyewe hiyo hakyamungu ambae unasubiri na kutabiri wenzio wafilisike,Usiamini sana nguvu za giza katika mafanikio mkuu
Tulia we lisome picha tu... Huwa wanazimikaga kama taa.. Masharti magumu wewe na unapodondokea ni padogo sana..
Haaaa mkuu nisije subiria embe chini ya ya mnazi...
Huyo rommy nae ajipange atafuatana na diamond mpak lini? Eeh kuwa ndugu ndio iwe shida, ebu atafute njia zake na yeye kabebwa vya kutosha
Nae ajitegemee Heee ndo nini hadi guest house alipiwe na ndugu yake, na ajue mwenzie sahivi ana familia mambo lazma yabadilike kama hataki kujitegemea akakae kwa wema sepetu