Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Hizi bifu nyngine huwa zinawapa watu umaarufu sana na hapo watajisifia kupiga mpunga...Le mutuz akiingia kati kidogo tu hapo utamsikia......

Hao ni maarufu tayari....

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo yq burudani
 
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
Mkuu wanawake ni watu wabaya sana
 
Anapenda dezo, nkua namshangaa Dai yupo na mpenzi wake ye yupo tu pembeni utadhani mchunga noma sijui dem wake alikua anamgonga saa ngapi ndo maana alimkimbia
 
Na bikira wa kisukuma pia hawapatani

Bikira nae anakasirikaga mapema sana!amekasirika tangu diamond amposti Jokate anacheza mdogomdogo sijui ile,basi mpaka leo Bikira amenuna wakati Jokate mwenyewe alishaongea yakaisha siku nyingi tu
 
Bikira nae anakasirikaga mapema sana!amekasirika tangu diamond amposti Jokate anacheza mdogomdogo sijui ile,basi mpaka leo Bikira amenuna wakati Jokate mwenyewe alishaongea yakaisha siku nyingi tu

Haaa bikira nae angetulia tuu aendelee kuitunza bikira yake
 
Anapenda dezo, nkua namshangaa Dai yupo na mpenzi wake ye yupo tu pembeni utadhani mchunga noma sijui dem wake alikua anamgonga saa ngapi ndo maana alimkimbia

Ila nayo yataka moyo kumfata mtu kila anakokwenda jamani!!
 
May be! Ila mimi kuna tangazo langu la pharmacy aliwah nitangazia kwa buku jero, labda kama siku hizi kaamua kupandisha bei
Hahahaha mmmh buku jero...wewe lazima umetunga..
 
Bikira nae anakasirikaga mapema sana!amekasirika tangu diamond amposti Jokate anacheza mdogomdogo sijui ile,basi mpaka leo Bikira amenuna wakati Jokate mwenyewe alishaongea yakaisha siku nyingi tu
Hapana sio hiyo
 
nashangaa mondi hajamataja romy kwenye nyimbo mpya jamani
 
Haya maisha sio kutengeneza kila kitu kwa ndugu, yeye pia anapaswa kujitegemea kimtindo sio vinginevyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…