Exclusive: Bifu zito kati ya Diamond na Rommy Jones

Acha uongo ndugu! wangekuwa na bifu ommy asingempost diamond cheki hii picha daki chache zilizopita

Wanataka wawaone wanabebana hawatambui katika maisha kuna njia nyingi za kutafuta pesa huku zingine zikiingia kwenye kampuni yao.

Wanajifanya wamesahau nini haswa kazi aipendayo Rommy na anapata muda wa kuifanya, wanataka wamuone amebena mabegi anaenda sehemu hasizohitajika na Diamond ka vile hakuna la kumuingizia pesa.

Acha wapige domo na kuandika uongo wakati wenzao wanajiingizia pesa na kula maisha.
 
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?
Wala hujapata uhakika kwamba habari ni za kweli lakini tayari umeshaku-conclude kwamba Rommy hatendewi haki! But let's assume angalau moja ya hizo tuhuma ni kweli. So, according to you:
  • Rommy aendelee tu kula bata kama anavyofanya bila kujenga msingi wake wa maisha wakati keshakuwa mtu mzima?
  • Assume ni kweli Rommy alikuwa anataka kuwatenganisha in favor of Wema! Kwahiyo according to you, hiyo ni sawa?
  • Studio: Hivi Rommy ni Producer na sio DJ? So, ingekuwa ni wewe hata kama si Producer, ungemwachia tu studio afanye production?!
 
wekeni picha ya huyo rommy maana wengine hatumjui
 
Hivi ndio yule jamaa anabadili rangi za nywele kama defao?
 
Watakuwa hawamfanyii vema rommy Jones ,rommy Jones ndo aliyekuwa clouds enzi diamond hajatoka,na akawa anarudia sana kupiga nyimbo za diamond na kuomba washikaji wapige simu za kuiomba ipate airtime ionekane diamond anapendwa,halafu Leo anamtosa?

Umesoma Maelezo na kuelewa kabla ya kuchangia?
Kazi ipo watu kama ninyi mpo kishabiki na siyo kujenga
 
Hivi mnaosema diamond hajamtendea haki, mnamaanisha aendelee kumbeba maisha yake yote?? Kumwambia ajifunze kujitegemea kakosea?? Hawa ndio tunawaita ndugu lawama, anakupa poketi money wakati unasoma, ukijavkupata kazi anataka umsomeshee watoto wake wote
 
Oh! Trust me, nilikuwa naugua kwa kushindwa kukuona miezi yote hii... nearly to ICU! You good the apple of my eye?

am back babe........... nilikumiss pia...
uko salama kipenzi cha roho yangu???????????
 
am back babe........... nilikumiss pia...uko salama kipenzi cha roho yangu???????????
Oh God!! Wacha nitandike kitambaa cheupe sasa hivi sakafuni manake nahisi moyo wangu unaweza dondoka chini hivi punde! What did u just say? Kipenzi cha roho yako? yaani you're sweetest and cutest... hadi maradhi yangu yametoka mbio!!
 

Mmmmh!
Calm down
 
Unaambiwa jipange nikutoe unanuna?!ingekuwa mimi nimgesema asante mungu,Huyo dj ana mawazo ya kumtegemea binadamu,hafikirii kuwa huyo ni binadamu aweza kufa ghafla.Ajifunze kwa kanumba watu wameuza mpaka makasha matupu ya dvd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…