mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Acha uongo ndugu! wangekuwa na bifu ommy asingempost diamond cheki hii picha daki chache zilizopita
Wanataka wawaone wanabebana hawatambui katika maisha kuna njia nyingi za kutafuta pesa huku zingine zikiingia kwenye kampuni yao.
Wanajifanya wamesahau nini haswa kazi aipendayo Rommy na anapata muda wa kuifanya, wanataka wamuone amebena mabegi anaenda sehemu hasizohitajika na Diamond ka vile hakuna la kumuingizia pesa.
Acha wapige domo na kuandika uongo wakati wenzao wanajiingizia pesa na kula maisha.
