Exclusive: Diamond ni mtu pekee aliyefanikiwa kutuondolea aibu Tanzania anga za kimataifa

Exclusive: Diamond ni mtu pekee aliyefanikiwa kutuondolea aibu Tanzania anga za kimataifa

Mkuu Lady Jay Dee ana tuzo ngapi??

Mkuu kuna mada humu ilishawahi kuongelea hili suala la nani ana tuzo nyingi,so itafute utajua jide ana ngp so far,najua unachotaka kusema kuwa jide ana tuzo nyingi kuliko diamond,kitu ambacho si kweli kabisa kama izi ndo fikra zako....ila unaweza tafuta msaada wa google or wikipedia if any unaweza kumbana na taarifa zake juu ya awards.
 
Ni kweli jide ana tuzo nyingi kumzidi diamond, labda tu amkaribie lakini hawezi kumfikia jide, jide kaanza kupata tuzo toka mwaka 2000 mpaka 2014 hajawahi kukosa tuzo, labda ya mwaka huu ndo kaichukua vannesa so jide kuwa sawa na diamond hpana kwa kwel
 
Mkuu jaribu kuangalia na ww..Mimi nimeona Jide anazo nyingi kuliko Diamond
 
Ni kweli jide ana tuzo nyingi kumzidi diamond, labda tu amkaribie lakini hawezi kumfikia jide, jide kaanza kupata tuzo toka mwaka 2000 mpaka 2014 hajawahi kukosa tuzo, labda ya mwaka huu ndo kaichukua vannesa so jide kuwa sawa na diamond hpana kwa kwel

Jide kaanza kupata tuzo 2000 but je alikuwa anapata ngapi? Tufanye kwa wastani kila mwaka alikuwa anapata tuzo 3 (yaani hapo nimempendelea kweli), so tufanye 14×3=42. Diamond ana tuzo 42, so pamoja na kumpendelea jide still hajamzidi diamond
 
According to wikipedia tuzo za Jide ni 33 warumi na wenzako hesabuni hapo...

Awards
Won:
2000- Multi Talented
Award (CLOUDS FM) [1]

2001 -M-Nets Best
Female Artist from
Tanzania[2]

2002 - Tanzania Music
Awards - Best Female
Artist ("Machozi")

2002 - Tanzania Music
Awards - Video of the
Year ("Machozi")

2003 Channel O Video
Music Awards -Best
African East
("Machozi")

2003 - Tanzania Youth
Archievement Awards
for Best RnB single
("Usiusemee Moyo")

2004 Tanzania Music
Awards - Best R&B
Album ("Binti") [3]
2005 - Channel O Video
Music Awards - Best
Video East Africa ("
Distance")

2005 - Channel O Video
Music Awards - Best
Collaboration Video ("
Makini") with Titi from
Uganda [4]

2005 - BBC Radio
Awards - Song of the
Year ("Distance")

2006 Pearl of Africa
Music Awards
- Best Female
(Tanzania) [5]

2007 Tanzania Music
Awards - Best
Collaboration
("Hawajui"), with
Mwanafalsafa [6]

2007 Pearl of Africa
Music Awards
- Best Female Artist
(Tanzania) [7]

2008 Tanzania Music
Awards - Best Female
Artist [8]

2008 Pearl of Africa
Music Awards
- Best Female Artist
(Tanzania) [9]

2008 Kisima Music
Awards - Song of the
Year Tanzania ("Anita"
with Matonya) &
Collaboration of the
Year ("Anita" with
Matonya) [10]

2009 Tanzania Music
Awards - Song of the
Year ("Anita" with
Matonya) & Best
Collaboration ("Anita"
with Matonya) [11]

2010 SFC awards - Best
Female Artist

2010 - Pearl Music
Awards - Best Female
Artist from Tanzania

2010 Tanzania Music
Awards - Best Female
Singer [12]

2011 Fiesta Hall of
Fame Award

2011 Pearl Music
Award - Best Female
Artist from Tanzania

2011 Tanzania Music
Awards
- Best Female Artist &
Best East African Song
('Nitafanya' with
Kidumu) [13]

2011 Uganda Divas
Awards - Best Female
Artist from Tanzania

2012 Tanzania Music
Awards
- Best Female Singer
[14]

2012 - Baab Kubwa
Magazine Awards -
Best Female Artist in
Tanzania

2013 - Tanzania Music
Awards - Best Female
Artist

2014 - Tanzania Music
Awards - Best Female
Singer

2014- Tanzania Music
Awards - Best Zouk/
Rhumba Song ("
Yahaya")

2014 - Tanzania
Peoples Choice Awards
- Favourite Female
Music Video ("Yahaya")

2014 Africa Magazine
Muzik Awards - Best
Female Artist East
Africa

2015 Kenya Bingwa
Music Awards - East
African Song of the
Year ("Yahaya ")

2015 Tanzania People's
Choice Awards -
Favourite Female Artist
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom