talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
Mkuu Lady Jay Dee ana tuzo ngapi??
Mkuu kuna mada humu ilishawahi kuongelea hili suala la nani ana tuzo nyingi,so itafute utajua jide ana ngp so far,najua unachotaka kusema kuwa jide ana tuzo nyingi kuliko diamond,kitu ambacho si kweli kabisa kama izi ndo fikra zako....ila unaweza tafuta msaada wa google or wikipedia if any unaweza kumbana na taarifa zake juu ya awards.