Mkuu Lady Jay Dee ana tuzo ngapi??
Mkuu kuna mada humu ilishawahi kuongelea hili suala la nani ana tuzo nyingi,so itafute utajua jide ana ngp so far,najua unachotaka kusema kuwa jide ana tuzo nyingi kuliko diamond,kitu ambacho si kweli kabisa kama izi ndo fikra zako....ila unaweza tafuta msaada wa google or wikipedia if any unaweza kumbana na taarifa zake juu ya awards.
Mkuu jaribu kuangalia na ww..Mimi nimeona Jide anazo nyingi kuliko DiamondMkuu kuna mada humu ilishawahi kuongelea hili suala la nani ana tuzo nyingi,so itafute utajua jide ana ngp so far,najua unachotaka kusema kuwa jide ana tuzo nyingi kuliko diamond,kitu ambacho si kweli kabisa kama izi ndo fikra zako....ila unaweza tafuta msaada wa google or wikipedia if any unaweza kumbana na taarifa zake juu ya awards.
Ni kweli jide ana tuzo nyingi kumzidi diamond, labda tu amkaribie lakini hawezi kumfikia jide, jide kaanza kupata tuzo toka mwaka 2000 mpaka 2014 hajawahi kukosa tuzo, labda ya mwaka huu ndo kaichukua vannesa so jide kuwa sawa na diamond hpana kwa kwel