Exclusive: Diamond ni mtu pekee aliyefanikiwa kutuondolea aibu Tanzania anga za kimataifa

Exclusive: Diamond ni mtu pekee aliyefanikiwa kutuondolea aibu Tanzania anga za kimataifa

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Ni maneno ya King of all bongo social media LE MUTUZ

LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys I love music na ninaujua music sibahatishi ninajua kupiga vyombo vya music I have been DJ all my life mpaka Mbelezzz I mean Downtown New York City/USA so I know music ni kwamba diamond platnumz ni the best thing to ever happen to our land..

Tanzania tumepitia some very ugly moments na music kuna wakati tulifikia the lowest mpaka kuwaleta Musicians like Kanda BongoMan ninakumbuka ninamuona New York akipiga uwanja wa Central Park bure lakini anaalikwa Bongo mgeni wa heshima wa dansi lake anakuwa mpaka Waziri Mkuu Kanda Bongoman kwao Zaire hata akipiga bure hakuna wa kwenda kupoteza muda cause hana music wake yeye ni kuiga tu...kuna wakati Bongo tulikuwa na the Music talent Mbaraka Mwinshehe enzi hizo yeye alikuwa almost one level na Lwambo Makiadi Franco wa Zaire lakini Serikali yetu ya Awamu ya kwanza haikuwa na time kabisa na music until now that we have this best talent to ever happen in Our land History Diamond ndiye the Only Artist aliyetuondolea aibu ya Taifa leo hatuwezi tena kuwaalika kina Koffi Olomide au JB Mpiana gharama ya nini wakati unaweza kumpigisha Diamond na ukalipisha bei kubwa kuliko hao WaCongo na ukajaza na wananchi wakaridhika...

I mean my point leo ni kuwakumbusha tu ndugu zangu umuhimu wa kujifunza na kuelewa thamani ya what we have as a Nation in Super Star Diamond and his music which is now our Music yaani Tanzania kumbuka tunatia aibu kwenye Michezo yote mingine no talent Yanga na Simba huko ni makelele tu wakiingia National Team ni ujinga ujinga mtupu Aibu ndio maana niliacha hata kwenda Mpirani..now I understand in life huwezi Kuwaridhisha wote na Mungu anasema it is ok "Ikiwezekana ishi kwa amani na kila mtu" cause hata Mungu anaposema "IKIWEZEKANA" anajua kwamba Haiwezekani so hata kama humpendi Diamond ni sawa kabisa tena ukawa na Sababu zako za msingi lakini Heshimu His Music Talent maana now it is a National Talent yaani Kipaji Cha Taifa the best talent kwenye all Tanzania's Sports to ever happen

So with him now tunaishi na HISTORY he is a History a Super History..some of us tulichoshwa na aibu ya Taifa so lets treasure our own the best Music Talent
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ukweli kabisa,tatizo letu watanzania tuna viroho kama vya uchawi,coz ktk hali halisi huwezi kuchukia mafanikio ya mtu tena mtanzania mwenzio bila sababu
 
Huu ndo ukweli haijawahi haijatoke na huenda utachukua karne nyingi sana kutokea msanii kama DIAMOND kwa TZ, kuna watu wanalialia tu hii haibadilishi kitu nyinyi lieni ila ndo imeshakuwa hivo YULE MUNAYEMCHUKIA NDO YUKO JUU SANA SANA.

Vizuri sana
 
Le mutuz alishaniblock siku nyingi hahhaha sijui kwanini.

Hahahahaha hata mimi alinifollow kabisa ila ghafla tu nikakuta block sema tu akiongea point lazima wadau warepost ndio namuona
 
Huo ni ukweli kabisa,tatizo letu watanzania tuna viroho kama vya uchawi,coz ktk hali halisi huwezi kuchukia mafanikio ya mtu tena mtanzania mwenzio bila sababu

Hahahahaha na ndio wameingia choo cha kike, mtu anamchukia diamond ila hatoki kichwani mwake akiamka diamond, akienda msalani diamond, akilala anamuota diamond kwanini hta wasimuone huyu mtu freemason na ndio sababu pia wakifika miaka 45 BP, KISUKARI kisa kujibebesha vitu vya ajabu...

Sie furaha eerday TEAM WCB

TUKUTANE ALHAMISI AIRPORT KUZIPOKEA TUZO ZETU TANO!!!!!!!
 
Diamond ndio nani? hana impact yoyote kwa Taifa
DIAMOND PLATINUMZ ni msanii wa kimataifa mwenye asili ya TZ, na pia ametunukiwa hadhi ya kuwa ni NEMBO YA TAIFA. Kwa nyongeza huyu msanii ndo msanii wa kwanza kwa TZ na E.A kwa ujumla kuwa na tuzo nyingi mno tokea TZ na E.A kujulikana duniani.Ngoja nikupe cha ziada ni msanii ambaye mafanikio yake ni ya muda mfupi sana tangu ajiingize kwenye muziki alianza rasmi 2010 kwa hiyo yupo kwenye muziki kwa miaka 5 tu, lakini keshawapita waliokuwa kwenye muziki kwa zaidi ya miaka 15, KAWAPITA KIFEDHA,KIMUZIKI,KWA TUZO ZA NDANI NA ZA NJE NA KWA KUJULIKANA KWA AFRIKA NZIMA NA DUNIANI KWA UJUMLA AJATOKEA KAMA YEYE TZ na kinachoendelea sasa ni hivi wakongwe wa zamani wanafanya mipango na wao wawe kama yeye aliyewakuta lakini akawapita kwa mbali mnooooooooooooooooooooooooooo nadhani sasa ushamjua.
 
Mkuu Lady Jay Dee ana tuzo ngapi??
 
Mitanzania ni mijitu ya hovyo (sio wote) hivi KingKiba unamuacha wapi? aubkisa yeye sio dalali wa kupanda dau kwny tuzo?
 
Mitanzania ni mijitu ya hovyo (sio wote) hivi KingKiba unamuacha wapi? aubkisa yeye sio dalali wa kupanda dau kwny tuzo?

Acha urofa wewe

Kibakuli katunukiwa tuzo ngapi kimataifa????

Au hujui wanavyosemaga,Award wining artist???

Hana hata wimbo mmoja uliowahi chezwa MTV ni aibu hata kulinganisha na yamoto band, watoto wa juzi kabisa wanampiga gap????

Huyu saa mbovu ashukuru kibeef chake na Diamond tusingekuwa tunapotezamuda kulinganisha ki dimbwi na bahari hapa, KICHEFU CHEFU KABISA

MARK MY WORD SITAKUJA KUMTAJA HUYU KIBAKA, NIMESHAONA NAMPA KIKI HUMU NDANI

HAYA TUKUTANE KESHO KUMPOKEA KING OF AFROPOP NA TUZO ZET TANO KESHO AIRPORT SAA SABA MCHANA

OYOOOOOOOOOO
 
Kesho UKAWA tunatia maguu Airpot,usiulize nini kitafuata😣😣😣
 
Le Mutuz amenena.

Ningekua namchukia ningefunga macho, ila sasa hivi nimeyakodoa nachekelea.
 
Back
Top Bottom