mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
apo na mm nilipaona mkuu..ndo maana uwa uwa siwaamini amini awa GPL...mtu atalipiaje kifua wazi wakat apoapo reception ananguo zake
Kinachoniacha hoi kwenye mtiririko wa habari picha ya kwenye cover la gazeti ni kuwa walianza vizuri kuwa diamond anaingia kwa hotel akiwa kavaa tshirt white ila kaingia mapokezi tu analipia chumba no208 akiwa kavaa singland white, kuna hoteli wanaanzA kuvulia nguo reception??? Au Rwakatare style