Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

apo na mm nilipaona mkuu..ndo maana uwa uwa siwaamini amini awa GPL...mtu atalipiaje kifua wazi wakat apoapo reception ananguo zake
 
shilole hamna kitu hata wewe ukikaza unajipigia!hadi kijeba mrisho ngassa anapiga utashindwa wewe mpwa?

Hahaha kwani Ngasa unamchukuliaje mzee?Hujui kama ni supastaa wa soka wa tz mwenye hadhi ya nyota5?Enewei nasikia hadi bwa mdogo Young D kajilia vyake duuh,inaonekana Shilole ni kichwa cha mwendawazimu
 
apo na mm nilipaona mkuu..ndo maana uwa uwa siwaamini amini awa GPL...mtu atalipiaje kifua wazi wakat apoapo reception ananguo zake

Acheni uvivu wa kusoma, maelezo yapo. Alikabidhiwa chumba, akaingia ndani, alipotoka kulipia ndio akatoka kifua wazi na sandals za Uwoya.
 
Ila dogo cha muhimu atumie condom tu maana hao watu washapitiwa na watu wengi mno..
 
kuna mdau alishawah kutoa uzi unawahusu hao wawili, kwamba kuna maeneo tata ameshaona..wenye kubisha tulibisha sana..na waliokubali..matokeo ndio haya sasa...
 
dushelelee!
 
Mi namwonea tu huruma baba Krish asipopata presha hapo duh.... Ney wa mitego alisema ukitaka..............kawacheki bongo muvy naona bongo flava wanawafata kweli..... yule wake humu mbn hatokei au banned
 
udaku udaku udaku udaku...sidhan kama ina ukweli wwt..kuna tukio la msanii lilitokea mbele ya macho yangu,GPL..walikuja ku report tofauti na ilivokua..kwangu mm,hawaaminiki
Acheni uvivu wa kusoma, maelezo yapo. Alikabidhiwa chumba, akaingia ndani, alipotoka kulipia ndio akatoka kifua wazi na sandals za Uwoya.
 
Hahaha kwani Ngasa unamchukuliaje mzee?Hujui kama ni supastaa wa soka wa tz mwenye hadhi ya nyota5?Enewei nasikia hadi bwa mdogo Young D kajilia vyake duuh,inaonekana Shilole ni kichwa cha mwendawazimu
Wema sepetu ndo TBS ya star wa kiume kibongobongo!ili uwe mkali inabidi list ya kummega wema ikuhusu!ngassa alitaka kutest akaambulia fedheha kwani hana muonekano wa kinyama wa kugonga watoto wakali
 
Wema sepetu ndo TBS ya star wa kiume kibongobongo!ili uwe mkali inabidi list ya kummega wema ikuhusu!ngassa alitaka kutest akaambulia fedheha kwani hana muonekano wa kinyama wa kugonga watoto wakali

Wema ni mkali? MM nilishagonga yule, breki ni pu..mbu!
 
Alitaabika wakati akiuza mitumba,sasa neema imemwangukia,mwacheni awagegede mpaka waseme basi wao wenyewe waonajipendekeza kwake. Tena wot hao wanafuata hela na siyo mapenzi,cha msingi akumbuke kuwa maisha yana change.
 
Wema sepetu ndo TBS ya star wa kiume kibongobongo!ili uwe mkali inabidi list ya kummega wema ikuhusu!ngassa alitaka kutest akaambulia fedheha kwani hana muonekano wa kinyama wa kugonga watoto wakali

duuuhh sasa JUMBE & CHALZ BABA wana unyama gani nao??
 
]Wema sepetu ndo TBS ya star wa kiume kibongobongo!ili uwe mkali inabidi list ya kummega wema ikuhusu![/COLOR]ngassa alitaka kutest akaambulia fedheha kwani hana muonekano wa kinyama wa kugonga watoto wakali

BIG NO..............labda kwa mabongo movie na mabongo fleva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…