Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

kwanza tukianza kutaja TBS za bongo Wema mbona anapanga foleni....

Muuza sura naona kaamua kumpaisha Wema,mtu anagongwa hadi na mla mapouda asiye na mbele wala nyuma 'JUMBE' na mkata viuno wa wana wa kutwanga na kupepeta 'CHALZ BABA' then anamuita TBS?
 
Muuza sura naona kaamua kumpaisha Wema,mtu anagongwa hadi na mla mapouda asiye na mbele wala nyuma 'JUMBE' na mkata viuno wa wana wa kutwanga na kupepeta 'CHALZ BABA' then anamuita TBS?
Kwa malaya wa mjini wema daraja lingine bab!wema selective kicheche!kipindi jumbe anapiga jumbe alikuwa mnyama kimtaa!!!sehemu kidogo alichemka ni kumvulia chupi chalz baba!chalz baba local...wema hata kama una mzigo ili umgonge lazma uwe na agent anayemuamini ila kumfuata bila agent lazima uwe mnyama!tofauti na kina shilole ukipewa namba ukikaza sana tu!beki hazikabi
 
Duh...kama malengo yake ni kutusua warembo wa bongo muvi isije ikatokea akawamaliza akahamia kwa VIDUME
wa bongo muvi....muumba aepushie mbali.....
 
Hiyo ndo watu wa Kigoma wanaita LEKA DUTIGITE
 
Duh...kama malengo yake ni kutusua warembo wa bongo muvi isije ikatokea akawamaliza akahamia kwa VIDUME
wa bongo muvi....muumba aepushie mbali.....

Aaaaah ! Mkuu hapo umefyatukaa !
Imagine Ray na ule mkorogo alaf...... ! Tiraaa....tiraa ...ntaritaaa !
 
:A S 39:jamaa wa Shigongo kanunua picha za CCTV !!, hii Hoteli haina maana !
 
Huyu dogo naye kazidi sasa, mwisho atahamia bungeni kwa wale viti maalum wenye mvuto.
 
wanawake wanapenda hela haijalishi utakuwa nao wangapi
wenyew wanasema wanapenda mwanaume mwenye mapenzi kweli
 
"Mgeni huyu mgeni"-R.I.P Komba
 
Ilikuwa saa kumi kasorobo sheikh mbwana alikuwa msikitini na baadhi ya waamini alikua akiabudu Allah akbar Allah akbar akiwa anamaanisha Mungu mkubwa Mungu mkubwa [HASHTAG]#Nikazeze[/HASHTAG]
 
Reactions: Gut
kuoa msanii kujisogeze kaburi mlangoni kwako.ungiapo na kutoka unalitambuka siku1 utatumbukia
 
Ila uwoya ni mzuri kuliko bi kizee Zari mara 100 yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…