Exclusive : Diamond, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie ndani ya wimbo mmoja

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya
kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika
akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa
kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations
Global Goals campaign’.

Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid
wameungana na wanamuziki wengine wakubwa
wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper
Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South
Africa), Sauti Sol (Kenya), Becca (Ghana) na
Toofan (Togo).

Maproducer ambao wameshiriki kutengeneza
wimbo huo ni Cobhams Asuquo (Nigeria), David
KING DAVID Muthami (Kenya) na Ellputo
(Mozambique).

SOURCE : BONGO5
 
Kiba je, itakua wameiba kura!
 
Shardcole nifah sumbai cute b Hii haihitaji kupig kura hahahahhahahaha njooni muendelee kujipa stress kidoho, mtajuta kuchaguwa kuwa na roho za vijiba... haifai kabisa, Kendrick watu wako ninao hapa kama roba ya mbao hiviiii Umoja wa mataifa wameniunganishia wababe wa Afrika nzima ndani ya songi moja Chibu × Wizzy
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaa... Mkuu Kidingi unawapoteza watu mazimaa. wanalikimbia jukwaa sasa.
 
Last edited by a moderator:

Asantee kwa taarifa mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mmh huyu Kibakuli hawajamchukua maana angepost et nafanya collabo na wiz kid na sarkodie wakati wimbo na wa u.n
 
Mmh huyu Kibakuli hawajamchukua maana angepost et nafanya collabo na wiz kid na sarkodie wakati wimbo na wa u.n

hahahahahaha si kawaida yao yani project moja baada ya miaka karibia kumi, lazima watangaze wapike na ubwabwa mtaa mzima washangilie hata kama kwaya.. Ila nimependa tu UN kuwakutanisha wakali hawa, Chibu anatengeneza mkwanja kila kukicha na international deals zinaongezeka kila siku
 
Asantee kwa taarifa mkuu

Tupo pamoja, japokuwa hapa hatuitaji kura ya mtu yoyote dogo kashapiga mkwanja huo kutoka Umoja wa Mataifa na mzigo utatoka sio mda!!!
 
Kumbe ni project! Hata kiba ashafanya nyingi sana hizo na mastaa wote unaowajua duniani ambao Diamond hadi atakufa hatoweza kugusa hata kucha ya mastaa hao ambao kiba alishare nao bafu.
 
Hahahahahahaaa... Mkuu Kidingi unawapoteza watu mazimaa. wanalikimbia jukwaa sasa.

Watu wana roho mbaya sana, dawa yao ni mafanikio tu ndio unawazika hapohapo!! yani wanaomba chochote kibaya kitokee kwa Diamond kifunguliwe thread wajazane waanze ooooh tulisema atashuka hahahahähhahaha wana ndoto za Abunuasi kweli.. Shardcole pwilo cute b Dinazarde miss lincoln
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni project! Hata kiba ashafanya nyingi sana hizo na mastaa wote unaowajua duniani ambao Diamond hadi atakufa hatoweza kugusa hata kucha ya mastaa hao ambao kiba alishare nao bafu.

Lazima mnyooke, maana mtv hampo mkakimbilia kwwnda kulialia kwenye page yao, hahhaha hii hainakuomba wasanii waongezwe wamechaguliwa wakali tu!!! Cha tofauti zaidi niproject baada ya project One campaign imeisha tumekuja na hiyo...

Hapa hampigi kura hahahahaha maana mngeshaanza swaga zenu oooooh CCM
 
diamond pumbavu tu,hamna cha maana anachoweza kuimba huyo mtu,hana uwezo hata kidogo.anapenda sana kufunikwa na beaty labda ajifunze kwa kiba
 
diamond pumbavu tu,hamna cha maana anachoweza kuimba huyo mtu,hana uwezo hata kidogo.anapenda sana kufunikwa na beaty labda ajifunze kwa kiba

Bado tu unamfananisha Mkali wa Afrika nzima na huyo mfu kwenye game? hahahaha
 
Bado tu unamfananisha Mkali wa Afrika nzima na huyo mfu kwenye game? hahahaha

Ushabiki kama huu, wa kuita watu majina ya kukera na kujitoa ufahamu kisa msanii ni wa kupigwa vita.
Utamwitaje mwenzako 'mfu'?
Kuwa anony sometimes kunatuondolea hata ule utu kidogo.
Ptuuuu!!
 
Hahahahahahaaa... Mkuu Kidingi unawapoteza watu mazimaa. wanalikimbia jukwaa sasa.

Tuna kazi za kufanya, tuna familia, kuna vyakuka vya kupika na mambo mengine muhimu.
Usione mtu kapotea ukadhani anakimbia mada
We have to attend to more pressing matters, time is not with us all the time!!!
 
Last edited by a moderator:
Bado tu unamfananisha Mkali wa Afrika nzima na huyo mfu kwenye game? hahahaha

mkali wa Afrika anaimbaga juu ya nn huyo domo.wimbo mmoja wa kiba ulivokaa chat ww unaongea pumba.nyimbo ipi yake iliyokaa mda huo?Mm nilivo nmezoea kusikia nyimbo zenye tungo,tena zenye ukali wake,kusikiliza domo kwangu ni kurudi nyuma hatua nyingi sana
 
Anavoimba kama ndo ukubwa Afrika then Afrika tunazima kabisa.huyo mtu sauti,utunzi,hisia zake kwenye wimbo,kubadilika yuko zero
 
Mhhhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…