binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Viva our Diamond. Mafanikio furaha yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni project! Hata kiba ashafanya nyingi sana hizo na mastaa wote unaowajua duniani ambao Diamond hadi atakufa hatoweza kugusa hata kucha ya mastaa hao ambao kiba alishare nao bafu.
Ndipo alipo jifunza kuvuta bangi au
Tuna kazi za kufanya, tuna familia, kuna vyakuka vya kupika na mambo mengine muhimu.
Usione mtu kapotea ukadhani anakimbia mada
We have to attend to more pressing matters, time is not with us all the time!!!
kasema nani anavuta bangi,ww mwenyewe c unavuta?mwache kiba kabisa.chuki zako bure tu