Exclusive : Diamond, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie ndani ya wimbo mmoja

Exclusive : Diamond, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie ndani ya wimbo mmoja

Kumbe ni project! Hata kiba ashafanya nyingi sana hizo na mastaa wote unaowajua duniani ambao Diamond hadi atakufa hatoweza kugusa hata kucha ya mastaa hao ambao kiba alishare nao bafu.

Ndipo alipo jifunza kuvuta bangi au
 
Tuna kazi za kufanya, tuna familia, kuna vyakuka vya kupika na mambo mengine muhimu.
Usione mtu kapotea ukadhani anakimbia mada
We have to attend to more pressing matters, time is not with us all the time!!!

Kwendaaaaaaaa mbona kwenye uzi wa NEA mlijazana na mfekero yenu kumponda mkitegemea atashuka hizo ndoto zenu msahau.... Afu kusemea mfu kwenye mziki unapata shida gani kuelewa hapo (ukisikia yule mtu kipaji kimekufa huelewi??) huo ndio ukweli uupokee hata kama mchungu Kiba kwenye ramani ya game hayupo tenaaa, ni kelele za kwenye mitandao tu kupitia kiki za kufananishwa na Diamond maana nyota ya Chibu ni nooooooma we huoni wakina King lawrenc na Ivandon walivyo maarufu kupita hta wasanii wa bongo sembuse mtafuta kiko kibakuli
 
Kila msanii Afrika sasahivi analilia collable na diamond washaona ndio habari ya town wanasafisha nyota..

WACHA AENDELEE KUWABURUZAAA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom