Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya
kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika
akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa
kampeni ya Umoja wa mataifa, United Nations
Global Goals campaign.
Hit maker huyo wa Nana na Wizkid
wameungana na wanamuziki wengine wakubwa
wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper
Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South
Africa), Sauti Sol (Kenya), Becca (Ghana) na
Toofan (Togo).
Maproducer ambao wameshiriki kutengeneza
wimbo huo ni Cobhams Asuquo (Nigeria), David
KING DAVID Muthami (Kenya) na Ellputo
(Mozambique).
SOURCE : BONGO5