Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Ajib alitakiwa atazame soka la kulipwa,kwenda yanga ni kwenda kuua kipaji chake kama ilivyomtokea Kaseke.
huko nje tatizo wanapima pima sana bhana. ha ha unajua tena vijana na cha Arusha.
 
hahahaaah sawa mkuu. So Ngoma na Niyonzima nao ni uhakika Simba????

Huyu Kiherehere na Popoma aliyetukuka kitalembwa atanisaidia kunijibia Mkuu kwani tokea apate Kazi ya kuwa Mchambuzi hapo Efm na Kukimbia Kazi yake ya Ualimu huku akitolewa Ushamba wa kusafiri katika Ndege kwenda Jozi ( Johannesburg ) Afrika ya Kusini mara kwa mara kuchambua Soka na SuperSports tayari ameshajifanya Mjanja na anaijua Kazi wakati anaingia hapo Efm tunamwona jinsi alivyokuwa Mbwigira / Mshamba.
 
simba wakizidiwa na hapo watamsingizia bashite!
 
Timu hizi hazina Viongozi ila wahuni waliokabidhiwa ofisi , Eti Kiongozi anasema SISI MBELE KWA MBELE ACHA AENDE ZAKE
 
Wewe wa wapi Mkuu? Yaani unaongelea ya jana wakati ni hivi punde tu Ajib ameshamalizana na Yanga na huenda kati ya Kesho hadi Jumapili Mkude nae akajiunga na Yanga! Kumbe mlidhani kuwa GENTAMYCINE natania tu au nimeamua tu Kujichetua na kuwapeni hii taarifa ambayo kitalembwa ( Mtangazaji wa Efm Oscar Oscar ) alidhani nimeitoa katika Radio yao ya Efm huku akisahau kuwa Yeye ni Mtoto mdogo mno Kwangu hasa katika uwezo wa kupata taarifa zile nyeti kabisa au muhimu. Yaani Mimi kabisa na Utaalam na Ufundi wangu niitegemee Efm kunipa News Tip? Ana bahati sitomchamba kwakuwa namjua ni mwana Simba SC mwenzangu ila angekuwa ni mwana Yanga FC nadhani angejuta kunifahamu.
Eeh....kuchambana tena? hya shosti!
 
Back
Top Bottom