Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Ahaaa! Hisia zako naziheshimu, but why?Mkuu nahisi wewe sio mwanamichezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa! Hisia zako naziheshimu, but why?Mkuu nahisi wewe sio mwanamichezo.
Waulize kazeeka kama Tambwe au kama kijana Kiiza tuliyewauzia?Kuna wengine wanajifanya hawamjui, eti Ajibu amezeeka ni bora aende Yanga.[emoji23]
Wakati Simba Koko wakipika habari za kumsajili Hakizimana, Yanga wameshamsajili Migomba...Yanga wana maudhi jamani acheni. Ila nasikia Okwi a.k.a tawi la mazoea yupo Bongo kusaini mkataba ya kuchukua hela Sokoni
Yule Msomali hakukosea kuwaita mbumbumbuSimba viongozi na mashabiki zao wete wana akili za kibashite bashite
Anauza kila kitu kuondoa mkosi atakapoingia taifa kubwa(Marekani), anapewa kila kitu kipya kasoro mke tu!Uongo mtupu Niyonzima tunakaa naye mtaa mmoja ajasaini popote.. na vitu vyake anauza mpaka gari lake inawezekana akasepa kabisa bongo
Baba na mwana.Hapana, mie ni Toto African, hahahaha