Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nawashangaa sana wana simba kuna mmoja alidai eti ajib alikuwa rotten apple, nikachoka na kuchoka.Kuna wengine wanajifanya hawamjui, eti Ajibu amezeeka ni bora aende Yanga.[emoji23]
Kwa kuwa kaja yanga kila kasoro yake lol.