Ni mimi sijakuelewa au wewe umeandika kisichoeleweka???Ptzasimba zimeenda wapi
huko nje tatizo wanapima pima sana bhana. ha ha unajua tena vijana na cha Arusha.Ajib alitakiwa atazame soka la kulipwa,kwenda yanga ni kwenda kuua kipaji chake kama ilivyomtokea Kaseke.
hahahaaah sawa mkuu. So Ngoma na Niyonzima nao ni uhakika Simba????
mm ni simba damu lakn nampongeza dogoSimba nadhani wamejutia sana kumpoteza
yeah ishu ya maslahi ni muhimu kwa hiyo ameona wanamsumbua akapita hivimm ni simba damu lakn nampongeza dogo
Acheni unafiki kwanini hamkusema kwa John Boco,Kapombe na Manura?Ajib alitakiwa atazame soka la kulipwa,kwenda yanga ni kwenda kuua kipaji chake kama ilivyomtokea Kaseke.
Mpumue wakati hamjachukua ubingwaa ligi kuu miaka 5 sasAfadhali aende tupumue
Eeh....kuchambana tena? hya shosti!Wewe wa wapi Mkuu? Yaani unaongelea ya jana wakati ni hivi punde tu Ajib ameshamalizana na Yanga na huenda kati ya Kesho hadi Jumapili Mkude nae akajiunga na Yanga! Kumbe mlidhani kuwa GENTAMYCINE natania tu au nimeamua tu Kujichetua na kuwapeni hii taarifa ambayo kitalembwa ( Mtangazaji wa Efm Oscar Oscar ) alidhani nimeitoa katika Radio yao ya Efm huku akisahau kuwa Yeye ni Mtoto mdogo mno Kwangu hasa katika uwezo wa kupata taarifa zile nyeti kabisa au muhimu. Yaani Mimi kabisa na Utaalam na Ufundi wangu niitegemee Efm kunipa News Tip? Ana bahati sitomchamba kwakuwa namjua ni mwana Simba SC mwenzangu ila angekuwa ni mwana Yanga FC nadhani angejuta kunifahamu.
Bocco na Kapombe vipi?Ajib alitakiwa atazame soka la kulipwa,kwenda yanga ni kwenda kuua kipaji chake kama ilivyomtokea Kaseke.
Mmh. Kama kweli vile wakati kimoyo moyo mnaumia lol.Wenzake wanasonga mbele kwenda mazembe na mbele yeye anaenda dimbwini.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] swali zuri kabisaBocco na Kapombe vipi?
Ajib ni rotten apple, aende tu dimbwini!!Mmh. Kama kweli vile wakati kimoyo moyo mnaumia lol.
Aaaah wapiDah,,,,,,,ndio mwisho wake.
Leo hii ndio mnajua hilo.Ajib ni rotten apple, aende tu dimbwini!!