Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Alikuwa analalamikiwa na mashabiki kuwa ni mvivu wa mazoezi .. Aende tu Ndala FC
Akawachune ndala huko, safari hii tunataka kuirudisha nchinangalau kama inavyotakiwa, mwakilishi halali kapatikana, mnyama, wavivu hatutaki!!
 
kama ni kweli nikizukumbuka zile outer cross zake na Bichwa la Tambwe na Diving Header za Chilwa mhhh ni balaa na hatariπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Angebaki bench lingemuhusu huyu..!!sio kwa straika hyu anaekuja kutoka ghana,jtatu anatambulishwa rasmi..hongera ajib kwa kuwa na machale!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…