brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #21
Kiba anatakiwa kubadilika kuliko kujificha kwenye kichaka cha lawama, hivi kweli unatoa nyimbo leo then baada ya miezi 6 ndo unatoa video hivi unadhani mtv base watacheza iyo video na kuacha video mpya na nyimbo mpya? nyimbo ya nagharamia hadi leo video haijatoka wakati walishafanya ni same mistake