Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

Kiba anatakiwa kubadilika kuliko kujificha kwenye kichaka cha lawama, hivi kweli unatoa nyimbo leo then baada ya miezi 6 ndo unatoa video hivi unadhani mtv base watacheza iyo video na kuacha video mpya na nyimbo mpya? nyimbo ya nagharamia hadi leo video haijatoka wakati walishafanya ni same mistake
 
Kidingi kawauliza je, kabla ya DIAMOND kutoka mulishapata tuzo au nyimbo zenu kuchezwa tv na radio za kimataifa ????
Alipopata tuzo za pombe alijiona yeye ndio yeye anajua muziki kelele nyingi sasa kanyooshwa anaanza kutoa visababu imekula kwake kule hayupo Wema Sepetu ampigie debe kule ni ubora wako ndio unakupa tuzo.

Sababu zimeisha mkuu..! wanatoa hoja mfu kutafuta huruma ya mashabiki.
 
Last edited by a moderator:
Yani tokea tumewanyoosha wenzako wamekimbia kabisa, hivi imewauma sana? hahahaha le super mubebez nimemmis mnooo cute b king kiba ashagharamiwa na chibu dangote huku hahaha tumenunua kifurushi cha tuzo cha miaka 10 na tunampango wa kuongeza ili tumuachie kabisa na harmonize...!!
hahahaha endelea kufurahia tu. hapa hakimbii mtu.
 
Last edited by a moderator:
Akue sasa huyu jamaa tunakoelekea atasema hata you tube videos zake zina viewers wachache kwa sababu kuna watu wanahonga videos zake zisiangaliwe.Apige kazi majungu kulalama hovyo hovyo awaachie mashosti tuu.
 
Sasa nashindwa kuelewa kabisa, hivi ni kwa wimbo upi ambao ana uhakika una ubora wa kupata tuzo za kimataifa hadi afikie kusema eti anafanyiwa fitina?
 
kwekwekwekwehhhhh!!!😁😂😂 king kanyooshwa kwel dai ni gaidi🏃🏃
 
Ina maana King Kiba hataki kufuata ushauri wa Kidoti?
Asitafute mchawi
 
Ina maana King Kiba hataki kufuata ushauri wa Kidoti?
Asitafute mchawi
kisa kasifiwa na Wema basi akajiona anaweza lakini kufuata kanuni za kufanikiwa ktk muziki hazifuati,badala aangalie mwenzake kafanikiwa vipi yeye anatuletea visababu.
 
kisa kasifiwa na Wema basi akajiona anaweza lakini kufuata kanuni za kufanikiwa ktk muziki hazifuati,badala aangalie mwenzake kafanikiwa vipi yeye anatuletea visababu.

Kapigwa bao hadi na harmonize, video ya aiyola inachezwa MTV sas hvi.. yeye anazaidi ya miaka kumi kwenye game ila hata hawamfahamu afu anabaki kutoa sababu mfu..

LONG LIVE OUR PRESIDENT DIAMOND PLATNUMZ, THE KING OF AFROPOP...!!
 
Harmonize Baby.Ndo matunda ya badae na sasa.Kingi kiiba na Harmonize na mkali?
Wasafi.wcb.com
 
Last edited by a moderator:
Harmonize Baby.Ndo matunda ya badae na sasa.Kingi kiiba na Harmonize nani mkali?
Wasafi.wcb.com
 
Last edited by a moderator:
Kapigwa bao hadi na harmonize, video ya aiyola inachezwa MTV sas hvi.. yeye anazaidi ya miaka kumi kwenye game ila hata hawamfahamu afu anabaki kutoa sababu mfu..

LONG LIVE OUR PRESIDENT DIAMOND PLATNUMZ, THE KING OF AFROPOP...!!
Video ya aiyola na pacha wangu ipi nzuri
Babu tale fella salaam wanajiona mungu watu kuna video kama shauri zao hiyo aiyola haikamati au ayaya ila fitna tu
Richmavoko yuleee anapotea kidogo
Recho kasahaulika babu tale bwana ila haya ngoja tuone mwisho wake
 
Sasa nashindwa kuelewa kabisa, hivi ni kwa wimbo upi ambao ana uhakika una ubora wa kupata tuzo za kimataifa hadi afikie kusema eti anafanyiwa fitina?
Akili hamna wewe sasa nasema nawe unafananisha ba wimbo upi wa kiba ???
 
Back
Top Bottom