Kidingi kawauliza je, kabla ya DIAMOND kutoka mulishapata tuzo au nyimbo zenu kuchezwa tv na radio za kimataifa ????
Alipopata tuzo za pombe alijiona yeye ndio yeye anajua muziki kelele nyingi sasa kanyooshwa anaanza kutoa visababu imekula kwake kule hayupo Wema Sepetu ampigie debe kule ni ubora wako ndio unakupa tuzo.
hahahaha endelea kufurahia tu. hapa hakimbii mtu.Yani tokea tumewanyoosha wenzako wamekimbia kabisa, hivi imewauma sana? hahahaha le super mubebez nimemmis mnooo cute b king kiba ashagharamiwa na chibu dangote huku hahaha tumenunua kifurushi cha tuzo cha miaka 10 na tunampango wa kuongeza ili tumuachie kabisa na harmonize...!!
Kiba kaomba poo mwenyewe chezea DIAMOND wewe.endeleeni tu. ila ipo siku mtaelewa tu
hiyo poo kaomba wapi weweKiba kaomba poo mwenyewe chezea DIAMOND wewe.
King bhana mbona wenzake kina Mr Nice na Dudu Baya hawalalamiki?
kisa kasifiwa na Wema basi akajiona anaweza lakini kufuata kanuni za kufanikiwa ktk muziki hazifuati,badala aangalie mwenzake kafanikiwa vipi yeye anatuletea visababu.Ina maana King Kiba hataki kufuata ushauri wa Kidoti?
Asitafute mchawi
kisa kasifiwa na Wema basi akajiona anaweza lakini kufuata kanuni za kufanikiwa ktk muziki hazifuati,badala aangalie mwenzake kafanikiwa vipi yeye anatuletea visababu.
Video ya aiyola na pacha wangu ipi nzuriKapigwa bao hadi na harmonize, video ya aiyola inachezwa MTV sas hvi.. yeye anazaidi ya miaka kumi kwenye game ila hata hawamfahamu afu anabaki kutoa sababu mfu..
LONG LIVE OUR PRESIDENT DIAMOND PLATNUMZ, THE KING OF AFROPOP...!!
Akili hamna wewe sasa nasema nawe unafananisha ba wimbo upi wa kiba ???Sasa nashindwa kuelewa kabisa, hivi ni kwa wimbo upi ambao ana uhakika una ubora wa kupata tuzo za kimataifa hadi afikie kusema eti anafanyiwa fitina?