Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

Exclusive: Haya ndio mambo ambayo Alikiba anahisi kufanyiwa ili asifanikiwe

Kwishneeee Kashanyooka huyo na pumzi zimemuishia abaki tu mchangani awaachie wa kimataifa wasonge mbele
 
Kidingi kawauliza je, kabla ya DIAMOND kutoka mulishapata tuzo au nyimbo zenu kuchezwa tv na radio za kimataifa ????
Alipopata tuzo za pombe alijiona yeye ndio yeye anajua muziki kelele nyingi sasa kanyooshwa anaanza kutoa visababu imekula kwake kule hayupo Wema Sepetu ampigie debe kule ni ubora wako ndio unakupa tuzo.

Bhaelezee bhaelezee bhakuelewe...waliona kazi rais Diamond kufika kule
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom