Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??

Tumeunganisha dot kwa kutumia Mlango wa SITA wa maarifa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Aliyekuambia mfumo wa vyama vingi umekuwapo Kenya tangu Uhuru nani? Ofisi za Lumumba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tumia akili kidogo bwana.

Kenya hawakuondoa ukabila baada ya uhuru.

Sisi tungeufanya ukabila ushamiri kama tungeanza na vyama vingi mara baada ya uhuru.

Vyama vingi vinaweza kuleta demokrasia lakini pia ni chanzo cha kuigawa nchi katika makundi. Makundi haya yanaweza kuwa ya kiitikadi, kikanda, kidini, kikabila, n.k.

Kwa nchi changa ilikyotoka tu kwenye ukoloni, vyama nyingi vingejiunda kupitia makabila au dini - ni rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tumia akili kidogo bwana.

Kenya hawakuondoa ukabila baada ya uhuru.

Sisi tungeufanya ukabila ushamiri kama tungeanza na vyama vingi mara baada ya uhuru.

Vyama vingi vinaweza kuleta demokrasia lakini pia ni chanzo cha kuigawa nchi katika makundi. Makundi haya yanaweza kuwa ya kiitikadi, kikanda, kidini, kikabila, n.k.

Kwa nchi changa ilikyotoka tu kwenye ukoloni, vyama nyingi vingejiunda kupitia makabila au dini - ni rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nn maoni ya teuzi za JPM za sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wakenya tu,... Humu ndani mwako yanayofanyika ni makubwa saaana.... Mambo yanafanywa kimya kimya na kawaida ya watanzania ni wasahaulifu saaana, sijui tuna tatizo gani!
Hata history ya nchi yetu hatuifahamu kama history ya nje!...
Umesomeka mkuu ! Tunapepesa sana kwa jirani ya kwetu tunayafumbia ,,,,!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Msando sikuona sababu ya yeye kusema wazi kwenye media kuwa hakuna atakaye ingilia mfumo wa matokeo labda akatwe kiganja....Kwangu mimi niliona kama alikuwa amewapa mbinu wauwaji kabisa na zile zilikuwa tambo zisizo na msingi na hapa kusema kweli kabisa ndipo niliamini hakuna kitu kinaitwa Tume huru...
Kama mtu alipata wasaha kutazama mahojiano ya Msando atagundua kabisa kuwa alikuwa na upande wake na ndio maana alikuwa anaweka tambo na katika maongezi yake alionesha wazi kabisa uchaguzi uliopita uliingiliwa na wazi alikuwa ana watuhumu Jubilee...
Kwa hiyo Msando angeliweza kuhakikisha hakuna anaye ingilia mfumo wa matokeo kwa kuonesha vitendo na sio lazima kuweka tambo na kuonesha jinsi ambavyo wanaweza kuingilia matokeo...hilo ni kosa alilo lifanya pale kwenye usaili wake.

Halafu Kifo chake kina utata sana maana upande wa pili ule unaweza kuwa umetekeleza hii mission ili kuonesha kuwa wahusika ni watu fulani na kuhalalisha kuwa kura zimeibiwa na kabla ya kifo chake NASA walisema wamegundua kuna mpango wa wizi wa kura sasa najiuliza kwanini wasiwe NASA wame usika kwenye hili jambo ili kuthibitisha madai yao kuwa kuna mpango wa wizi wa Kura?
Halafu ni jana tuu NASA wamehoji usalama wa Kura zao baada Msando kuuwawa...
Bado naamini kuna mengi sana nyuma ya kifo cha Msando.
Mkuu wewe huungani na NASA ambayo ni mshirika mkuu wa JPM...


Swala la tume huru naona leo umeliweka wazi kuwa hata tz hakuna tume huru.....ni mapenzi ya msimamiz anaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako mbona yana hitimisha kuwa kuwa Jubilee ndio wamehusika? Kwanini si NASA kwa kutafuta public sympathy kupitia mgongo wa Kura kuibiwa na kuingiza nchi kwenye machafuko? NASA hata kabla ya kupotea kwa msando walileta story za kuibiwa kura na hata baada ya Msando kupatikana ndio wameonesha wazi kuwa hawana imani na mfumo wa matokeo ,,,,Kwanini sio kwamba hili jambo limepangwa ili kuonesha ulimwengu kuwa Kura zinaibiwa?
Mimi bado nina wasi wasi kabisa na pande zote kuhusika........maana mazingira ya kifo cha Msando bado kina waweka kwenye mashaka pande zote mbili kuhusika...

Unakua kama Mgeni wa chaguzi said Africa siku zote yule alie madarakani ananguvu zaidi ya alie nje so kua na wasiwasi wa kuibiwa ni lazima hata kama ni wewe hiyo hofu ni lazima ... hoja zako za why NASA walishaanza kulalimika hazina mashiko
 
Tunaweza kusema kuwa tume ya uchaguzi ya kenya ni huru zaidi na Ndiyo maana option pekee wanayoona inafaa kwa sasa ni labda kuondoa uhai wa mtu!! Kama iNgekuwa ya hovyo kama ya Tanzania basi ilikuwa ni suala la kumpigia simu mwenyekiti wa tume aende ikulu akachukue 'draft' la matokeo yanavyopaswa kuwa! Same ol rubbish!
Haa haa ....! Ww noma sana [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Upumbavu wetu waafrica na madictator wengine popote duniani ungeelekezwa zaidi katika kuutangazia umma wa wananchi kuwa hatuna haja ya kufanya uchaguzi"
Hii ni bonge ya wazo aisee. Moana hapo nakupa PHD
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu jifungie katika chumba chenye giza nene na (labda) washa mshumaa wenye mwanga hafifu alafu tumia hayo mazingira kutafakari kwa undani walau masaa matatu bila kusita on how noble is the human being.
Mtu anapata ujasiri wa kumuua mtendaji ambaye ana ujuzi kuzidi hata wazungu (samahani kwa ubaguzi huu), ni kwa nini huu ujasiri usiutumie kasema ukweli kuwa hizi pesa za kampeini na kugharamia uchaguzi zinaelekezwa kwenye huduma za jamii na msijisumbue na uchaguzi. Critics wako unawaeleza kinagaubaga baana hata wakikuchukia naamini hasira zao haziwezi kufikia zile za kuwaibia kura zao. Hii ingesaidia sana kutusogeza mbele kwa maana tutakuwa tunaishi katika misingi ya UKWELI ambao huzaa haki na haki huinua taifa.
Mbona nchi zingine zina wafalme na wananchi wao wakiwa wameridhika na si kudanganyana na uchaguzi!?
 
Imekuchoma
Kila mtu, anatumia kichwa chake kufikiri, hatutimii hayo makamasi yaliopo kichwani mwako, msituone wala kudhani wapumbavu eti hatuoni wala kujua nini kinaendelea. Ni suala la muda tuu udhalimu wote utapata majibu hadharani na malipo kweupeee.
 
Majirani zetu hawahitani maombi ya watu wanafiki kama Watanzania. Hamkuwahi kuona Wakirigenzi wakifukuzwa kazi kisa kukataa kumtangaza mbunge wa ccm na kutenda haki kwa aliyeshinda? Hayo maombi yako yatafaa nini?

Uchaguzi wa znz kufutwa kinyemela hili nalo mlilikemea kwa damu zenu? Wenzenu Kenya wanaweza kumwaga damu zao kutetea haki zao, nyie mnaweza kumwaga mashuzi kutetea matumbo yenu.

Uhuru fanya kila linalowezekana wapinzani wasishike madaraka kama ambavyo huku kwetu inafanyika waziwazi. Tufanane kila kitu na tuone uswahiba hauwezi kulazimisha mambo nchi ya wengine.

Udukuzi sio lazima uwe wakidigital, hata kubadilisha katiba za vyama ili uwe mgombea wa pekee huo pia ni udukuzi, huu ni analogia.

UK piga kazi
Maneno yako yanauma kama sindano inayoponya HIV!
 
Back
Top Bottom