Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Naona unavyozidi tu ' kuweweseka ' na ' dozi ' ya dawa aina ya GENTAMYCINE Mkuu. Pole sana na Mimi nimebobea mno katika ' Psychological War ' na naiweza kweli. Nilichokunyia hadi sasa hatimaye umetoka katika ' reli ' ni 3% tu ya ujuzi nilionao wa Vita vya Kisaikolojia je ningetumia 5% si ungesha log out kabisa ukalale? Twende Kazi Mkuu na leo ' nakesha ' hapa JF hivyo nimefuahi kulipata ' Boya ' la kulipelekesha ili linichangamshe na nisiweze ' Kusinzia '.
we uluona ap ofice assistant akampelekesha bosi?
kwa vile mmeo umemnywesha limbwata bas unafkiri kila kidume ni the same?
 
siko jf sabab ya kufurahisha watu
niko hapa kuwakilisha maoni yangu tuu!!!!!
so uko hapa kuteka akili za watu sabab ya like?
anyway kwa hizi comment 2 tatu znatosha kwa wenye akili kujua we ni mtu wa aina gani

Tayari ' Kwishnei ' Wewe na sasa ni ' ndembe ndembe '. Chezea GENTAMYCINE Weye!
 
we uluona ap ofice assistant akampelekesha bosi?
kwa vile mmeo umemnywesha limbwata bas unafkiri kila kidume ni the same?

Ukitaka ujue kuwa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuharibu Saikolojia yako na kukutoa katika reli ' totally ' pitia posts zako za pages za mwanzo na hizi za pages mbili hizi za mwisho. Ninalolitaka Mimi huwa linakuwa na naweza kukuchezesha mziki wangu na ukaucheza. Ukibarikiwa umebarikiwa tu hakyanani.
 
Tayari ' Kwishnei ' Wewe na sasa ni ' ndembe ndembe '. Chezea GENTAMYCINE Weye!
hahaaa kuna ntu anakutekenya apo au umekalia kitu chenye nchakali sio buree .....hahaaa maana naona unatyp ka unaskilizia utam iv.....
 
Ukitaka ujue kuwa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuharibu Saikolojia yako na kukutoa katika reli ' totally ' pitia posts zako za pages za mwanzo na hizi za pages mbili hizi za mwisho. Ninalolitaka Mimi huwa linakuwa na naweza kukuchezesha mziki wangu na ukaucheza. Ukibarikiwa umebarikiwa tu hakyanani.
hahahaa we mtoto mdogo sana kwe hii kazi
sema nmeamua kukujibu vile unataka (try me)
zooo am flexible yani njoo kivyovyote vile apa lazma ukaee
unafkir na mie ngekukimbia ka yule jamaa? pole I was born to win
 
Nasubiri umalize ' Sumu ' yako yote kisha nikupe ' Kitu ' kimoja tu uweze kuiheshimu hii ID milele amina.
 
bwana ako ndo amekutuma uje unambie ivi?
sasa mwambie lile njemba xng hua) limesema hiviiiiiiiii wote nyie ni nanga tuu na ntasubiri sanaa!!!
 
Hivi mkuu umejiandaa vizuri kwa GENTAMYCINE au huyo asikari uliye weka kwa profile ni mbwembwe?
 
tehteh unamuogopa eeeh
nsaidie kumwambia na wewe kwamba xng hua kasema njoo kivyovyote vile
etii he was born to win
 
Sasa mnaweza kumuelewa Nyerere baada ya uhuru aliposema tutakuwa na chama kimoja (TANU baadae CCM) mpaka tutakapoimarika na kujijua kama taifa moja (Nationalism).

Fikiria kama baada ya uhuru tungeruhusu vyama vingi.....

Tungekuwa na vyama vya
-Wasukuma,
-Wahaya,
-Wanyakyusa,
-Wachaga,
n.k.

Leo hii siasa za Tanzania zisingetofautiana na za Kenya.

Unfortunately, kuna watu wanajaribu kutupeleka huko. Washindwe, walegee kwa jina la mtakatifu NYERERE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi jua Mkuu je kama ' Jamaa ' hao ( Mafia ) walipomkamata walienda nae huko katika hiyo ' Mifumo ' yao ya Kiteknolojia kisha kwa ' mateso ' waliyompa ' Marehemu ' labda alikubali kuweka hicho ' Kiganja ' chake kwa ' Kuswapu ' huko kisha walipoona wamefanikiwa ndiyo wakaenda kummaliza. Hivi hili nalo umeshindwa tu kulifikiria Mkuu ukiwa kama Great Thinker wa JF?
Kweli nataka tu kujua protective features gani zimetumika kwenye hiyo fingerprint

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnaweza kumuelewa Nyerere baada ya uhuru aliposema tutakuwa na chama kimoja (TANU baadae CCM) mpaka tutakapoimarika na kujijua kama taifa moja (Nationalism).

Fikiria kama baada ya uhuru tungeruhusu vyama vingi.....

Tungekuwa na vyama vya
-Wasukuma,
-Wahaya,
-Wanyakyusa,
-Wachaga,
n.k.

Leo hii siasa za Tanzania zisingetofautiana na za Kenya.

Unfortunately, kuna watu wanajaribu kutupeleka huko. Washindwe, walegee kwa jina la mtakatifu NYERERE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuambia mfumo wa vyama vingi umekuwapo Kenya tangu Uhuru nani? Ofisi za Lumumba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikuwa wanapiga kelele humu kuwa demokrasia ya kenya imeiva ya kwetu ni mbichi na chachu! Wakasisitiza kuwa tume ya uchaguzi ya kenya iko huru sana!
Kwani kauawa kidemokrasia?
 
Back
Top Bottom