Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa Yaliyopelekea Mauaji Ya Bosi Wa Iebc Musando Huko Kenya

Maelezo ya huyo mwanamke nani aliyatoa na kufanikisha kuandika? Kama Watu wamezuiliwa ni nani ameona kwamba kidole kimekatwa! Nani anajua kuwa huyo mwanamke alikuwa msiri wake??

Tumeunganisha dot kwa kutumia Mlango wa SITA wa maarifa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Aliyekuambia mfumo wa vyama vingi umekuwapo Kenya tangu Uhuru nani? Ofisi za Lumumba au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tumia akili kidogo bwana.

Kenya hawakuondoa ukabila baada ya uhuru.

Sisi tungeufanya ukabila ushamiri kama tungeanza na vyama vingi mara baada ya uhuru.

Vyama vingi vinaweza kuleta demokrasia lakini pia ni chanzo cha kuigawa nchi katika makundi. Makundi haya yanaweza kuwa ya kiitikadi, kikanda, kidini, kikabila, n.k.

Kwa nchi changa ilikyotoka tu kwenye ukoloni, vyama nyingi vingejiunda kupitia makabila au dini - ni rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nn maoni ya teuzi za JPM za sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wakenya tu,... Humu ndani mwako yanayofanyika ni makubwa saaana.... Mambo yanafanywa kimya kimya na kawaida ya watanzania ni wasahaulifu saaana, sijui tuna tatizo gani!
Hata history ya nchi yetu hatuifahamu kama history ya nje!...
Umesomeka mkuu ! Tunapepesa sana kwa jirani ya kwetu tunayafumbia ,,,,!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe huungani na NASA ambayo ni mshirika mkuu wa JPM...


Swala la tume huru naona leo umeliweka wazi kuwa hata tz hakuna tume huru.....ni mapenzi ya msimamiz anaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unakua kama Mgeni wa chaguzi said Africa siku zote yule alie madarakani ananguvu zaidi ya alie nje so kua na wasiwasi wa kuibiwa ni lazima hata kama ni wewe hiyo hofu ni lazima ... hoja zako za why NASA walishaanza kulalimika hazina mashiko
 
Haa haa ....! Ww noma sana [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Upumbavu wetu waafrica na madictator wengine popote duniani ungeelekezwa zaidi katika kuutangazia umma wa wananchi kuwa hatuna haja ya kufanya uchaguzi"
Hii ni bonge ya wazo aisee. Moana hapo nakupa PHD
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu jifungie katika chumba chenye giza nene na (labda) washa mshumaa wenye mwanga hafifu alafu tumia hayo mazingira kutafakari kwa undani walau masaa matatu bila kusita on how noble is the human being.
Mtu anapata ujasiri wa kumuua mtendaji ambaye ana ujuzi kuzidi hata wazungu (samahani kwa ubaguzi huu), ni kwa nini huu ujasiri usiutumie kasema ukweli kuwa hizi pesa za kampeini na kugharamia uchaguzi zinaelekezwa kwenye huduma za jamii na msijisumbue na uchaguzi. Critics wako unawaeleza kinagaubaga baana hata wakikuchukia naamini hasira zao haziwezi kufikia zile za kuwaibia kura zao. Hii ingesaidia sana kutusogeza mbele kwa maana tutakuwa tunaishi katika misingi ya UKWELI ambao huzaa haki na haki huinua taifa.
Mbona nchi zingine zina wafalme na wananchi wao wakiwa wameridhika na si kudanganyana na uchaguzi!?
 
Imekuchoma
Kila mtu, anatumia kichwa chake kufikiri, hatutimii hayo makamasi yaliopo kichwani mwako, msituone wala kudhani wapumbavu eti hatuoni wala kujua nini kinaendelea. Ni suala la muda tuu udhalimu wote utapata majibu hadharani na malipo kweupeee.
 
Maneno yako yanauma kama sindano inayoponya HIV!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…