EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

Kama mtaweka special roads kama Dar hilo halitakua tatizo kwasababu hizo bus hazito simama kwenye foleni. Unless huo umbali ni zaidi ya Km 100! Kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo sizani kama inazidi ata Km 25!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]unajua hawatakagi kuamini Bongo ni nzuri kuliko Nai ndo maana wanaona aibu kuja kujifunza
 
Ndo hapo hata me nimeshangaa miez 2 inakamilikaje Tz penyewe ilituchukua muda mwendo kas yetu
 
Kwa akili yako unadhani hili basu lina mlango mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ipo miwili upande wanaposhukia abiria
Wewe vipi?, ipo wapi hiyo milango miwili, labda useme mlango wa pili upo upande wa kulia wa hili bus, lakini upande huu mlango ni huo mmoja pekee, labda kama huo mlango unaonekana kwa baadhi ya watu wachache sio kila mtu anaweza kuuona,(Invisible door)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…