EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

Wamejifunza na kuamua kujenga miundombinu ndani ya miezi miwili!! Hivi unazani kujifunza ni kitu rahisi, basi ufisadi usingekuwepo duniani maana kila uongozi unaoingia unakuwa unajua nini kizuri cha kufanya kutokana na kujifunza kwa waliotangulia sehemu mbali mbali duniani.
Kuona mwenzako alipokosea na kurekebisha ndo shida ya binadam hao wataalam ndo wanaziponza nchi za kiafrica kwa ubinfsi wao au kwa politics advantages kwa vyama vyao but kama tungekuwa na busara za kujifunza na kufanya tafiti kwenye utekelezaji ingekuwa super kama wanafanya ilimradi kushindana na tz hawatoboi
 
Tatizo Nai ina jam kali sana na pia hatuna brt lanes. Lakini nimefahamishwa kuwa hawataruhusu watu kusimama kwa hivyo hamna shida. Kwa jam, watu watakuwa wamekaa chini.
Ila wakenya muache vituko! BRT kirefu chake ni Bus Rapid Transit sasa kama hayo ma bus yatakua yanakaa kwenye foleni kama magari mengine hayawezi kuwa Rapid. Mnacho kifanya ni maboresho ya kuondoa ma3 na kuweka usafiri uliyo civilised zaidi mnaeza mkaita BT. Kwanini msinge vuta subira mkakamilisha miundo mbinu au ndiyo kujaribu ku catch up na Dar as soon as possible. Hayo mabus kwa kawaida huwa hayana viti vingi, labda hayo yenu wataweka viti vingi.
 
  • Thanks
Reactions: lun

Ewaaa, hapo umemaliza
 
  • Thanks
Reactions: lun
Tatizo Nai ina jam kali sana na pia hatuna brt lanes. Lakini nimefahamishwa kuwa hawataruhusu watu kusimama kwa hivyo hamna shida. Kwa jam, watu watakuwa wamekaa chini.
Tukiachana na utani wa jadi tunawatakia kilala kheri nai inajam kweli pamoja na zile lanes kwa baadhi ya road mnachallenge na hiyo brt msipopiga mahesabu vizuri mtamtafuta mchawi majirani zetu
 
Ila wakenya muache vituko! BRT kirefu chake ni Bus Rapid Transit sasa kama hayo ma bus yatakua yanakaa kwenye foleni kama magari mengine hayawezi kuwa Rapid. Mnacho kifanya ni maboresho ya kuondoa ma3 na kuweka usafiri uliyo civilised zaidi mnaeza mkaita BT. Kwanini msinge vuta subira mkakamilisha miundo mbinu au ndiyo kujaribu ku catch up na Dar as soon as possible. Hayo mabus kwa kawaida huwa hayana viti vingi, labda hayo yenu wataweka viti vingi.
Ni sawa, hapo kwa brt hongera sana, mmefanya kazi nzuri. Hilo ndilo jambo moja ambalo naeza sema mmetushinda kabisa 100 percent.
 
Sisi tu hazikai foleni changamoto ni uwingi wa mabus na uendeshaji sasa km zinakaa foleni hizo ni modern matatu
 
Tatizo Nai ina jam kali sana na pia hatuna brt lanes. Lakini nimefahamishwa kuwa hawataruhusu watu kusimama kwa hivyo hamna shida. Kwa jam, watu watakuwa wamekaa chini.
Hapana Tony254, lengo kuu la BRT ni kufika kwa haraka, sio kufika "comfortably", kumbuka kwamba, kama unafika ndani ya dakika kumi au ishirini kule unakokwenda, hakuna mtu atakayejali sana hata kama atasimama, labda awe na tatizo la Afya.

Lengo kuu la usafiri huu (BRT), ni hiyo " R", kwa Nairobi bila kuwa na special "lanes", haiwezi kuwa BRT, labda itaitwa (BCT), yaani " Bus comfortable Transport ".
 
Ni sawa, hapo kwa brt hongera sana, mmefanya kazi nzuri. Hilo ndilo jambo moja ambalo naeza sema mmetushinda kabisa 100 percent.
Maendeleo hayana nchi wala ukanda bongo ikiendelea hata jirani mnanufaika na kenya hivyo hivyo tuache ubinafsi
 
Tatizo Nai ina jam kali sana na pia hatuna brt lanes. Lakini nimefahamishwa kuwa hawataruhusu watu kusimama kwa hivyo hamna shida. Kwa jam, watu watakuwa wamekaa chini.
If thats the case then you cant call that a Rapid Transit
 
Hapana Tony254, lengo kuu la BRT ni kufika kwa haraka, sio kufika "comfortably", kumbuka kwamba, kama unafika ndani ya dakika kumi au ishirini kule unakokwenda, hakuna mtu atakayejali sana hata kama atasimama, labda awe na tatizo la Afya.

Lengo kuu la usafiri huu (BRT), ni hiyo " R", kwa Nairobi bila kuwa na special "lanes", haiwezi kuwa BRT, labda itaitwa (BCT), yaani " Bus comfortable Transport ".
Naelewa, mahali nipo kunayo BRT. Foleni ya brt ni lazima ijengwe ili watu wafike kwa haraka. Tutajifunza tu.
 
Kiukweli Mimi huwa ninamsikiliza sana Prof. Manyora, Mara nyingi ninadhani anayozungumza ni ukweli, CSs wengi huko Kenya hawana uwezo wa kuipeleka Kenya mbele, Manyora alimshauri rais awafute kazi, huyu James Macharia, Keter wa umeme, CS wa Fedha, na CS wa KILIMO, hawafai kabisa, kwanini asiwafute kazi?
 
Siasa ya Kenya ni ya kipekee, ukiifuatilia kwa ukaribu utakuwa wazimu. Ni complex hata kushinda ya America. Sifuatilii siasa kwa ukaribu siku hizi, pengine wakituibia pesa yetu. Inachosha saa zingine.
 
Naelewa, mahali nipo kunayo BRT. Foleni ya brt ni lazima ijengwe ili watu wafike kwa haraka. Tutajifunza tu.
Na huu ndo uzalendo wa kweli kusifia na kukosoa pale panapohusika...big up jirani viva east africa kama kila mtu atakua anasema kile kikichopo bila kukionea aibu tutafika mbali sana waafrika
 
Siasa ya Kenya ni ya kipekee, ukiifuatilia kwa ukaribu utakuwa wazimu. Ni complex hata kushinda ya America. Sifuatilii siasa kwa ukaribu siku hizi, pengine wakituibia pesa yetu. Inachosha saa zingine.
Mimi huwa ninafuatilia sana siasa za Kenya, kweli kabisa unayosema, very complex and unpredictable.

Ila kuna jambo moja ninaomba sana kama una any information uniambie, Galana Kulalu project, huu mradi umefikia wapi?, kwangu Mimi huu mradi ni muhimu sana kwa Kenya kuliko miradi yote inayotekelezwa na serikali ya Kenya kwa sasa.
 
Nairobi can easily implement an efficient mass rapid transit system including commuter trains leave alone BRT,as a matter of fact nairobi has an established commuter rail,we just need to refurbish it and procure DMUs.....but that is not happening,both county and national government are reluctant.....the big question is why....here is the thing...matatu industry is very tricky economics in nairobi...its a multi-billion industry generating massive income and revenue to many....nairobi county alone collects billions of shillings in revenue from the matatus on a daily basis....implement efficient public transport thats gone...i don't think sonko is willing to let go....secondly the sectors employs a lot of youth who would otherwise be unemployed....thousands of youths get their income daily from this industry..they have families and dependents....your average 14 seater driver earns about $20 daily....then you have the tout(makanga) earning about $15...remember this a 14 seater matatu..enter the big matatus and the wages increase....then there are those touts who hang around bus ranks/stages their job is to call on passengers,they earn about $0.5 per vehicle at the end of the day,they take home around $10.there are hundreds of them....you can see the economics,its an established industry supporting a lot of households..it does not end there,there are saccos organised by matatu owners,they very organised and efficient,through their daily returns from the matatus they have been able harmonise their returns and re-invent their revenues in utilities around the transport industries i.e petrol stations,lodges etc...they are very powerful and have morphed to some sort of cartel,rarely anything happens to the sector without their approval....so my friends as you can see,kenya is not a one man show...any projects being implemented in kenya has to be approved by all stakeholders,thats why public participation in any project is in our constitution.
 
Hapana Tony254, lengo kuu la BRT ni kufika kwa haraka, sio kufika "comfortably", kumbuka kwamba, kama unafika ndani ya dakika kumi au ishirini kule unakokwenda, hakuna mtu atakayejali sana hata kama atasimama, labda awe na tatizo la Afya.

Lengo kuu la usafiri huu (BRT), ni hiyo " R", kwa Nairobi bila kuwa na special "lanes", haiwezi kuwa BRT, labda itaitwa (BCT), yaani " Bus comfortable Transport ".
Hahahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa ninafuatilia sana siasa za Kenya, kweli kabisa unayosema, very complex and unpredictable.

Ila kuna jambo moja ninaomba sana kama una any information uniambie, Galana Kulalu project, huu mradi umefikia wapi?, kwangu Mimi huu mradi ni muhimu sana kwa Kenya kuliko miradi yote inayotekelezwa na serikali ya Kenya kwa sasa.

Hii hapa, there's no political goodwill na inauma sana!
 
Hapana Tony254, lengo kuu la BRT ni kufika kwa haraka, sio kufika "comfortably", kumbuka kwamba, kama unafika ndani ya dakika kumi au ishirini kule unakokwenda, hakuna mtu atakayejali sana hata kama atasimama, labda awe na tatizo la Afya.
Lengo kuu la usafiri huu (BRT), ni hiyo " R", kwa Nairobi bila kuwa na special "lanes", haiwezi kuwa BRT, labda itaitwa (BCT), yaani " Bus comfortable Transport ".
Bus comfortable transport😂😂😂😂😂😂😂😂
laughable
 
Nairobi can easily implement an efficient mass rapid transit system including commuter trains leave alone BRT,as a matter of fact nairobi has an established commuter rail,we just need to refurbish it and procure DMUs.....but that is not happening,both county and national government are reluctant.....the big question is why....here is the thing...matatu industry is very tricky economics in nairobi...its a multi-billion industry generating massive income and revenue to many....nairobi county alone collects billions of shillings in revenue from the matatus on a daily basis....implement efficient public transport thats gone...i don't think sonko is willing to let go....secondly the sectors employs a lot of youth who would otherwise be unemployed....thousands of youths get their income daily from this industry..they have families and dependents....your average 14 seater driver earns about $200 daily....then you have the tout(makanga) earning about $150...remember this a 14 seater matatu..enter the big matatus and the wages increase....then there are those touts who hang around bus ranks/stages their job is to call on passengers,they earn about $0.5 per vehicle at the end of the day,they take home around $100.there are hundreds of them....you can see the economics,its an established industry supporting a lot of households..it does not end there,there are saccos organised by matatu owners,they very organised and efficient,through their daily returns from the matatus they have been able harmonise their returns and re-invent their revenues in utilities around the transport industries i.e petrol stations,lodges etc...they are very powerful and have morphed to some sort of cartel,rarely anything happens to the sector without their approval....so my friends as you can see,kenya is not a one man show...any projects being implemented in kenya has to be approved by all stakeholders,thats why public participation in any project is in our constitution.
Hahaaa.. wewe jamaa unavyo andikaga na nikicheck hiyo picha yako huwa unanifurahisha sana. Unanikumbusha jamaa yangu anaitwa Kamau. To you Kenya and every thing in it is perfect! Sasa hiyo mishahara uliyoitaja umeitoa wapi! ebu ipige kwa mwezi uone unavyo jidanganya.
 
Back
Top Bottom