EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

EXCLUSIVE: How Nairobi BRT buses look!

Umeelewa?[emoji851][emoji851]
Wewe vipi?, ipo wapi hiyo milango miwili, labda useme mlango wa pili upo upande wa kulia wa hili bus, lakini upande huu mlango ni huo mmoja pekee, labda kama huo mlango unaonekana kwa baadhi ya watu wachache sio kila mtu anaweza kuuona,(Invisible door)
Screenshot_2019-05-10-22-19-55.jpeg
Screenshot_2019-05-10-22-18-11.jpeg
 
Zipo bas za aina mbili

Zinazopita barabara ya mwendokasi kwenda kariakoo, posta na moroco milango ipo upange wa kulia wa basi

Zipo zinatoka mbezi kwenda kimara milango ipo upande wa kushoto

Agalia hizo picha mbili utaelewa. Pia unaweza kuuliza swali jingine
Mlango wambele kushoto mliouna kwenye pizha za mwanzo ni wa dharura

Rim tu ivalishwe [emoji6]

Kwa hilo basi nionyeshe huo mlango wa pili??
Wewe vipi?, ipo wapi hiyo milango miwili, labda useme mlango wa pili upo upande wa kulia wa hili bus, lakini upande huu mlango ni huo mmoja pekee, labda kama huo mlango unaonekana kwa baadhi ya watu wachache sio kila mtu anaweza kuuona,(Invisible door)
 
Kenya wamejifunza tz then watafanya vizuri coz hata challenges wameziona dar kwa hiyo watushukuru na huo ndo ujirani na sio majigambo na dharau
 
So mnaleta bus kabra mjenge barabara, na mbona kuna wenzako huko juu wanasema si lazima mfanye kama sisi, juu kuchora ni sawa kabisa.
Wewe umesema pesa hazipo, ndipo nikakupa hio link.
 
Kenya wamejifunza tz then watafanya vizuri coz hata challenges wameziona dar kwa hiyo watushukuru na huo ndo ujirani na sio majigambo na dharau
Wamejifunza na kuamua kujenga miundombinu ndani ya miezi miwili!! Hivi unazani kujifunza ni kitu rahisi, basi ufisadi usingekuwepo duniani maana kila uongozi unaoingia unakuwa unajua nini kizuri cha kufanya kutokana na kujifunza kwa waliotangulia sehemu mbali mbali duniani.
 
  • Thanks
Reactions: lun
Kama mtaweka special roads kama Dar hilo halitakua tatizo kwasababu hizo bus hazito simama kwenye foleni. Unless huo umbali ni zaidi ya Km 100! Kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo sizani kama inazidi ata Km 25!
Tatizo Nai ina jam kali sana na pia hatuna brt lanes. Lakini nimefahamishwa kuwa hawataruhusu watu kusimama kwa hivyo hamna shida. Kwa jam, watu watakuwa wamekaa chini.
 
  • Thanks
Reactions: lun
Back
Top Bottom