Janerose........one BRT bus inareplace 6-14 seater matatu...1- 14 seater matatu ina employ dereva moja na tout moja...bus moja ya BRT ina employ dereva mmoja tu....kwa hivo bus moja ya BRT inafuta vijana 11 kazi....vijana walikuwa kazi hawapo kazi tena,unafikiri wataenda wapi....shida yetu waafrika tunakimbilia projects hazimake economic sense......our economies are still tiny and largely agricultural.....our infrastructure growth should centre around agriculture for maximum impact....i.e in makueni county hapa kenya niliona gavana wa huko alishajenga kiwanda ya kuprocess juice...kumbuka huko wanakuza maembe mingi sana...kisha akatafuta market....saa hii vijana huko wakapata ajira,mkulima wa maembe akapata market,hizo juice lazima zipelekwe market,hapo dereva ashapata kazi,vijana wa ku offload lazima wapate kazi...kwa ufupi hio investment ya kiwanda ipo na ripple effects na watu wengi wakanufaika....economic development is organic,thats how you grow an economy...sikufanya projects hazisaidii watu.