EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Hot hot interview!!
Mada ni hiyo tajwa hapo juu, ni topic maarufu sana. Na ishajadiliwa hapa mara kazaa, not bad kama tutairudia...

Mgeni ni cute b
Host : kiwatengu.

Muwe kimya kidogo na kama utamind fuatilia...mwishoni nitaruhusu maswali kutoka kwenu...
Karibuni!!
 
Last edited by a moderator:
Karibu cutie...
mambo vipi lakini?
 
Kumbe naibiwaga Raimundo njoo umuone huyu hapa leo... ndo maana nilikuwa nasita sita siku zote
Kumbe cute b ana kamutu kake bana
 
Last edited by a moderator:
oops!! sawa lakini...
Cutie ni nini itikadi yako kuu katika mapenzi...
Hivi true love ina exists katika ulimwengu huu?

true love inakuwepo sana..ila mara nyingi ni kwa upande mmoja..
Mfano...
Mwanaume ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake ila mpenzi (mwanamke) anachukulia kawaida sana. Na vivyo hivyo kwa mwanamke unaweza ukampenda mwanaume kikweli kweli lakini yeye wala hayupo.
Ni mara chache sana kama ipo ila sijawahi kuona wote wawili wawe wana true love...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…