kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #21
true love inakuwepo sana..ila mara nyingi ni kwa upande mmoja..
Mfano...
Mwanaume ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake ila mpenzi (mwanamke) anachukulia kawaida sana. Na vivyo hivyo kwa mwanamke unaweza ukampenda mwanaume kikweli kweli lakini yeye wala hayupo.
Ni mara chache sana kama ipo ila sijawahi kuona wote wawili wawe wana true love...
Kwa mwanamke we unadhani ni nini kitamfanya apende kweli?