true love inakuwepo sana..ila mara nyingi ni kwa upande mmoja..
Mfano...
Mwanaume ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake ila mpenzi (mwanamke) anachukulia kawaida sana. Na vivyo hivyo kwa mwanamke unaweza ukampenda mwanaume kikweli kweli lakini yeye wala hayupo.
Ni mara chache sana kama ipo ila sijawahi kuona wote wawili wawe wana true love...
Ha ha ha sasa sio usitishe mpango...tobaaa umemwita tena huyo mshenga wangu...
Kwa mwanamke we unadhani ni nini kitamfanya apende kweli?
Aaah wapi mie nilishapotezeaga long sana hadi nimesahau hahahah
Hmmm....
Ha ha ha...
Mahusiono ya u girlfriend na u boyfriend
Ha ha ha sasa sio usitishe mpango...tobaaa umemwita tena huyo mshenga wangu...
Hahahah
Haya bana kuna siku nimekuota ati tena ijumaa iliyopita tu
nipo mkuu naona cutie ndiyo kapotea gafla...
nipo mkuu naona cutie ndiyo kapotea gafla...
mb8 zimekata