EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

true love inakuwepo sana..ila mara nyingi ni kwa upande mmoja..
Mfano...
Mwanaume ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake ila mpenzi (mwanamke) anachukulia kawaida sana. Na vivyo hivyo kwa mwanamke unaweza ukampenda mwanaume kikweli kweli lakini yeye wala hayupo.
Ni mara chache sana kama ipo ila sijawahi kuona wote wawili wawe wana true love...

Kwa mwanamke we unadhani ni nini kitamfanya apende kweli?
 
Kumbe naibiwaga Raimundo njoo umuone huyu hapa leo... ndo maana nilikuwa nasita sita siku zote
Kumbe cute b ana kamutu kake bana

Ha ha ha sasa sio usitishe mpango...tobaaa umemwita tena huyo mshenga wangu...
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwanamke we unadhani ni nini kitamfanya apende kweli?

1.Upendo wa mwanaume kwake (hata kama ni wa uongo unaofanania ukweli)
2.MATUNZO (mwanaume aweze msaidia mpenzi wake anapopata tatizo)
Hivyi viwili ndio vikubwa ambavyo ni rahisi sana mwanaume kumteka navyo mwanamke akakupenda kweli
 
kiwatengu mbona umeishia katikati aka kienyeji hukuonekana tena wakati watu tulitulia tuli
 
Last edited by a moderator:
Every woman has her price no matter how faithful you think she is.
 
kiwatengu hii interview umeikosea muda na siku bwana!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom