EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

Hii interview ilikuwa na lengo kuu moja

Na swali la msingi moja

Upo in relation?

Teh teh baada ya hapo naona kiwatengu spidi na morali ikapotea gafla...
 
Last edited by a moderator:
Itaendelea baadae, you keep watching....
 
Itaendelea baadae, you keep watching....
cute b take this, hii kitu mpaka niifikishe mwisho!!
tujipe muda... baadae tukutane tena hapa.

mahojiano yaendelee as nilikuwa bado sijaigusa mada vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Hii interview ilikuwa na lengo kuu moja

Na swali la msingi moja

Upo in relation?

Teh teh baada ya hapo naona kiwatengu spidi na morali ikapotea gafla...

ur wrong sumbai hili swali ni lakawaida sana...
mi pia ninae mpenzi wangu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
ur wrong sumbai hili swali ni lakawaida sana...
mi pia ninae mpenzi wangu mkuu.

Bhasi mkuu nimeisubir kwa hamu iendelee ikakata ghaflaa...

Kumbe ipo in episodes..
 
Last edited by a moderator:
Hii interview ilikuwa na lengo kuu moja

Na swali la msingi moja

Upo in relation?

Teh teh baada ya hapo naona kiwatengu spidi na morali ikapotea gafla...

Na nilikuwa nasubiri kwa hamuuu jibu la cute b kwenye swali hilo, mie bado jibu sijaridhika nalo kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Hii interview ilikuwa na lengo kuu moja

Na swali la msingi moja

Upo in relation?

Teh teh baada ya hapo naona kiwatengu spidi na morali ikapotea gafla...

Abiria chunga mzigo wako...
Ila ilikata kutokana na matatizo ya umeme tuuu...
Jion tupo mjengon si ndio kiwatengu?
 
Last edited by a moderator:
p
Na nilikuwa nasubiri kwa hamuuu j MENTION ibu la [=240557]cute b[/MENTION] kwenye swali hilo, mie bado jibu sijaridhika nalo kwakweli.

Kwanini hujaridhika? Shemeji
ulitegemeaje
 
Kumbe naibiwaga Raimundo njoo umuone huyu hapa leo... ndo maana nilikuwa nasita sita siku zote
Kumbe cute b ana kamutu kake bana

Ha ha ha! Aisee nilikuwa ofline, hii interview ilinipita!

Yaani cute b ndo anasemaje eti yuko kwenye nini?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Aisee nilikuwa ofline, hii interview ilinipita!

Yaani cute b ndo anasemaje eti yuko kwenye nini?

Hichi ki@cute b kinazingua bana yaani nimeanza kivutia afu ndio kinakuja sema kuwa kina BF
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…