Ngoja niiendeleze mimi Hii Interview
Unaposema Bado haumini kama Kuna Mapenzi Ya Kweli kati Yenu, Huoni kwamba hauko Serious?
Hivi Kuna Uhusiano Gani wa kukaa miaka Miwili bila Kujua nini mwenzako anawaza Juu Yako?
Ow sorry ndio naipata now...
Mapenzi ya kweli ni pamoja na kupendana kwenye shida na raha maradhi na vitu vingine kama hivyo...
Sasa mimi nasema "bado sijajua kama ni ya dhati " kwa sababu katika kipindi cha mahusiano yetu tumekuwa na raha tuu hatujapitia mateso shida maradhi kufilisika....endapo tutapitia hqyo ndipo nitakapoweza kusema mapenzi yetu ni ya dhati au lah.