EXCLUSIVE INTERVIEW: Nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...

Kinachoyapa nguvu mahusiano yetu nazani ni kuwekana bize....kwamba nina boyfriend nikiwa bored namtafuta ...nikiwa na tatizo namshirikisha ananishauri. Na pia nikim miss nampata..
Hayo tuu mkuu...

unampataje as umesema mko mikoa tofauti?
turudi kwenye mada kidogo sasa, nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...
Unadhani mapenzi ya kweli yanajengwa na pesa ama upendo?
 
unampataje as umesema mko mikoa tofauti?
turudi kwenye mada kidogo sasa, nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...
Unadhani mapenzi ya kweli yanajengwa na pesa ama upendo?

Nikimmiss ana kuja au mimi naenda....

.....................
Mapenzi ya kweli yaniajengwa na upendo.. na ili upendo uwe wa kweli lazma na pesa zihusike
 
Nikimmiss ana kuja au mimi naenda....

.....................
Mapenzi ya kweli yaniajengwa na upendo.. na ili upendo uwe wa kweli lazma na pesa zihusike

Sawa, pesa zinahusikaje hapo cutie? kupenda kunahitaji pesa?
 
Sawa, pesa zinahusikaje hapo cutie? kupenda kunahitaji pesa?

Kupenda hapahitaji hela direct mkuu ila ni indirect.
Kwa mfano mimi na mpenz wamgu tupo mikoa tofauti ya kwamba hadi tukutane lazma hela iwepo ya usafiri.
Kama hela haitokuwepo maana yake hatutokutana ingali tumemisiana... lazma mapenzi yatapungua maana haiwezekani mkae hata mwaka mzima hamjakutana useme kuna mapenzi...
Vile vile mkuu mapenzi sio hela ina pesa inang'arisha...
Haiwezekani ukawa na mpenzi hajishughulishi na chochote. Mnalala njaa anaamkia kwenye draft mtaan jion anarrudi mnalala njaa tena kweli tuvumiliane tuu?
Mapenzi sio pesa ila uwepo wa pesa kwenye mapenzi inaboresha mapenzi yawe maradufu
 
Afadhali umeonyesha msimamo wako kuwa mapenzi siyo pesa...
cutie kwa hiyo wewe ile timu ya no free p haupo siyo?
 
Afadhali umeonyesha msimamo wako kuwa mapenzi siyo pesa...
cutie kwa hiyo wewe ile timu ya no free p haupo siyo?

Unapo sex na mpenzi wako kwa namna yoyote ile ni umefanya kwa raha kama starehe nyingine. So si vyema kusema umempa free p...
 
Unapo sex na mpenzi wako kwa namna yoyote ile ni umefanya kwa raha kama starehe nyingine. So si vyema kusema umempa free p...

ha ha ha....
so what do u like in ur relationship, achilia mbali hayo ya kusikilizana kujaliana....
Is sex part of ur relationship regardless bado hamjaoana, na vile vile hujui kama una true love ama lah?
 
Kusema kweli sex ndio furaha yangu kwa kipindi hichi...hamna ninachotegemea kutoka kwa my boyfriend mbali na mapenzi...
Labla kwa baadae sana ndipo tutaanza malengo ila kwa sasa kikubwa ni kutoana uchovu
Ha ha ha
 
safi is he ur first man?
 
Hapani sio wa kwanza

Oopss!! vipi hii dhana ya wadada waliopo kwenye mahusiano likija swala la kuachana au kuachwa unakuta malalamiko kibao...
mengi yakiwa upande wakuchezewa...."ooh kumbe ulikuwa unanichezea tu"...hizi kauli wewe unazichukuliaje? ikizingatiwa ushakuwa na mpenzi zaidi ya mmoja?
 
Unajua mkuu vichwa vyetu sisi wanawake vimetofautiana...kuna ambao wakisha ambiwa "nakupenda sana nitahakikisha tumeoana" hao wanajua ni kweli... hawajui kuna kusema hivyo coz mwanaume ana demand something frm her...ndipo unakuta anauaminisha ubongo wake kwamba lazma anioe... sasa ikitokea kuachana lazma aumie tuu...
Ila kwa upande wangu sijisifu wala nini ila nikidanganywa huwa nagundua mapema sana...tena ni bora mtu aombe papuchi kwenye kupeana papuchi mpendane huko huko kuliko ahadi feki za "ndio mzee "
 
whaaat!! is ur Papue simple like that? au ndiyo easy night stand....
naokuomba unanielewa napiga tunaachana!! duh
 
whaaat!! is ur Papue simple like that? au ndiyo easy night stand....
naokuomba unanielewa napiga tunaachana!! duh

Ni bora kuliko kunidanganya kwamba umenizimikia sijui utanioa sijui utaninunulia prado sijui nini...
Ni bora uniombe tuu...
Umeninukuu vibaya mkuu sio kwamba ni simple like that...hapana hapo nimetolea mfano...maana hata kama ni kupeana papuchi bila kuwa na malengo inategemea na nguvu yake ya ushawishi....
Sio kwamba ukiomba tuu utapewa hapana...lazma unishawishi zaidi na zaidi hadi niridhie kukupa.. ila ahadi feki hapana kwa kweli...
 
Sawa, hebu niambie wewe hao mambo ya papuchi uliyajua lini? na ukayaanza lini? how long did stay with ur virgin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…