kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
- Thread starter
- #101
Kinachoyapa nguvu mahusiano yetu nazani ni kuwekana bize....kwamba nina boyfriend nikiwa bored namtafuta ...nikiwa na tatizo namshirikisha ananishauri. Na pia nikim miss nampata..
Hayo tuu mkuu...
unampataje as umesema mko mikoa tofauti?
turudi kwenye mada kidogo sasa, nguvu ya pesa katika mapenzi ya kweli...
Unadhani mapenzi ya kweli yanajengwa na pesa ama upendo?