kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu...
ngoja nifuate nyayo za uran!!
yaap, niko vyema karibu kwenye hot conversation...
naamini uko tayari!!
Poa, niambie kwanza je, uko katika relationship?
karibu...
ngoja nifuate nyayo za uran!!
Wanikumbusha mbali ujue...
Safi, ndoa, uchumba au u girlfriend na u boyfriend?
tuanze na hapo kwanza!!
Okay!! Cutie... kati yenu nyie wawili... je, kuna mapenzi ya kweli? jifikirie kwa upande wako!!
hee!! how old is ur love?
oops!! sawa lakini...
Cutie ni nini itikadi yako kuu katika mapenzi...
Hivi true love ina exists katika ulimwengu huu?