Nivizuri kusema ukweli jAYDE anasura mbaya na mwanaume yoyote atakaempata atakuwa analiwa pesa zake.wanaume wakitanzania wanavyopenda wanawake wazuri .sura Yake Kama WASHAWASHA
Mi kwa upande wangu naamin Jide ndie mwenye maumivu makali sana moyoni.kwani ndie aliempenda G ,haya yoote mala nyingi watu wa mujini husema HAYO NI MANENO YA MKOSAJI......Jide wakati anatumia pesa kumpata G aliumiza sana moyo wa dada Mmoja hivi huko Mwanza dada huyo aliitwa Idda,Idda ndie alizaa na G Mtoto Mmoja wa kike,aliteseka sana na Hali Kama hii baada ya dada yetu kuingilia Penzi Lao,huyu Jide ni MSHAHARA WA YALE ALIYOTENDA.......Nina iman Jide anayo mateso Makubwa sana juu ya kuachana na G.......kamwe jambo hili haliweZi toka mapema kichwani mwake maana ndie hasa alikuwa mwenye Penzi kwa G......pole sana Jide
Nivizuri kusema ukweli jAYDE anasura mbaya na mwanaume yoyote atakaempata atakuwa analiwa pesa zake.wanaume wakitanzania wanavyopenda wanawake wazuri .sura Yake Kama WASHAWASHA
Jide ukimwona saivi ni kama mtu anayepungukiwa kitu fulani ila anashindwa kukicover....Hakuwa mtu wa kujichanganya kiivo ila leo usishangae anakupigia hodi kwako aje mpige story.
Yani namna alivyomsema Gadner sijapenda kabisa ameongea kijinga sana, labda anahisi itampunguzia maumivu moyoni maana kumuacha mtu ambae bado unampenda na amekuwa zaidi ya mume sikia tu kwa wenzio.
All in all maisha ya mwenzie bado yanaendelea labda alifikiri atakwama.
Hakuna mwanaume anaye weza kulazimishwa kuishi na mwanamke kama hataki! Ni wazi G aliachana na mkewake kwa matakwa yake si kusurutishwa!
Unajua jide alicho kuwa anafanya sio kipya kabisa 60% ya maisha ya ndoa yamejaa unafiki tuu...watu wanaumia hawana jinsi inabidi waendelee kunyamaza na kubaki kwenye moto..hadi wanapo karibia kutokwa roho ndio wana kimbia!
Usione watu wanacheka kumbe ni unafiki tupu na sanaa!
Kuna mada moja alileta lara 1 ilisema-ndoa ni taasisi iliyo jaaa unafiki wa hali ya juu watu waliwaka sana! Lakini mimi niliilewa sana tena na huo ulio ulikuwa ukweli..nadhani ushahidi wa mada hile unaanza kupatikana ..
Kama ujui kuigiza na kuwa mnafiki sidhani kama unaweza kudumu kwenye ndoa hasa za kiafrika ambazo kifo ndio hutenganisha ndoa!
Kama uwezi kuwa mnafiki au kuigiza usijiingize kwenye ndoa kabisa maana baada ya mwaka itavunjika!
Unadhani Jide asingeingilia hii ndoa ingekua imara na yenye furaha hadi leo kama ndoa zinavyopaswa kuwa?
Asante kwa kuclear my doubtsYeah alikua na mke huko Mwanza wamezaa nae mtoto mmoja ni kweli kabisa... alivyokuja Dar akawa na mtoto Fauzia.. baadae Jide ko mpambano bado ulikuwepo kati ya baby mama wa Gardner na Jide mwenyewe...
Dear sis
ukweli nimeumia leo kusoma mwananchi ukurasa watatu mzima unaweka majadiliano kuhusu maishayako na gadner!!sidhan kama ulikuwasawa ama ukupata msaada wa mawazo!!ndoa inapokufa mnabaki kilamtu na maishayake!!simjui gadner vile lakini aijaliishi alikuwa mlevi!kicheche na mlishaachana akuna hajayakusema magazetini ooh umemwacha wewee!!somatalaka inasema mmeachana!!!kama umefanikiwa kuipata
nimeongea hivi kwahuzuni kama mwanandoa!!mnapofikia kikomo chamaishayenu si vizuri kutkanana amakuaibishana magazetini!!leo uwezi amini basinililopanda mmoja kanunua gazeti
kasoma akaanza kukukandikia kweli!!!tukaamua wengine kusoma kuna ninii!ile niaibu!!kama ukupata wa kukushauri ilenifedheha kwenu yanikwako nakwake!!kumbuka hiyu kaka aliulizwa kipindi inaitwa mikasi gadner akaulizwa kuhusu ndoa hapo mlishaachana akaombahayo ni mamboyenuyandani!!!muulize mwongozaji salma atakuonyesha alichojibu
ndugu wapendwa hii nakwenu jf pia samahani kamammeona baadhiyamaswali yandoa najibu mkato maana ndoa ni wewe namumeoo!!huku tutakupa mimba!!!kuna mmmoja ameuliza anamiaka 9 amwelewi mumewe hata tukikuongezea 2 hutomwelewa malizana naetu huko huku utapata majibuya ajabu yasionwmsaada!!ni kweli mbele huko wamemjibu majibuya shinyaaa
jaydee najua amna watoto badomnaitaji kuheshimiana aijalishi mmeachana wapo leo walioachana na bado watoto wao waliozaa pandezote wanatmbeleana sembuse nyyie wenyeee!!wee!!kuachana ni matokeo tu usikatetamaaa aminiusiamini dd hawahawamagazeti wanakuja kukufyonza sikuwakikuona na gadner mnakumbatiana tena
maombiyangu kwamungu upendo uendelee juyenu aijaliishi kilamtu yukowapi anaishiwapi