Unajua jide alicho kuwa anafanya sio kipya kabisa 60% ya maisha ya ndoa yamejaa unafiki tuu...watu wanaumia hawana jinsi inabidi waendelee kunyamaza na kubaki kwenye moto..hadi wanapo karibia kutokwa roho ndio wana kimbia!
Usione watu wanacheka kumbe ni unafiki tupu na sanaa!
Kuna mada moja alileta
lara 1 ilisema-ndoa ni taasisi iliyo jaaa unafiki wa hali ya juu watu waliwaka sana! Lakini mimi niliilewa sana tena na huo ulio ulikuwa ukweli..nadhani ushahidi wa mada hile unaanza kupatikana ..
Kama ujui kuigiza na kuwa mnafiki sidhani kama unaweza kudumu kwenye ndoa hasa za kiafrika ambazo kifo ndio hutenganisha ndoa!
Kama uwezi kuwa mnafiki au kuigiza usijiingize kwenye ndoa kabisa maana baada ya mwaka itavunjika!