Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

Ni kweli mkuu. Huwa sipendi kusoma mambo ya watu lakni comment yako imenivutia. Ni kweli mafanikio ya jide hayakuletwa na jide mwenywe hata gadna yupo kwenye mafanikio hayo. Mimi nathani wangeongea tu yaishe. Wawe marafiki wa kawaida. Kuna sometimes unahisi umfeel mtu tena laknj sio kwamba humpendi. Sisi wanaume tunayo hio kitu.

Well said mkuu. paulo kilaki anasema hapo juu, elimu ya jide ni finyu sana. Nsmi nskubalisna nae, kwani Kila neno tusemalo lina gharama.Jide kama angekuwa na elimu angetakiwa kutazama hilo kabla hajakurupuka kuanza kuchafua Sifa ya Gadner.
manake kuna
Leo na kesho. Unaweza itwa mpumbavu ikiwa utamrudia uliyemtusi hadharani. Hata hivyo si heshima kumchafua X wako.
Sisi ni binadamu sio tuna mapungufu yetu na hii ni hali ya kawaida. Itakuwa aibu sana kwa jide aje aachane na mwanamme mwingine huko mbeleni.
Jide angetakiwa kujua ameshazeeka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Ukimsoma vizuri Jide utagundua kuwa ana Psychological problems, kile kitendo cha yy kutozaa inampelekea ku-creat inferiority complex, hajiamini ksbisa???

Pili akijiangalia alivyo na wale mademu wanaoshikwa makalio na Gardner anaona kuna tofauti kubwa sana???
Wale wanaoshikwa makalio ni wazuri kumzidi Sana!

Kwa hayo yote atafanyaje sasa walau nae aonekane yupo juu? Ndo hapo anaanza kumchafua G ili walau na na peace of mind???
 
yeye acha asepe,wenzake watacover,maisha yanaendelea,amuulize Wema kasepa Zari kacover.

Ha ha ha Victoire.. Hiyo inaitwa kata mti panda mti lol..

Lakini hizi ndizo tabia za celebrities world wide.. Japo hapa kwetu unaweza kuona kama wanaiga vileee..
 
Last edited by a moderator:
Hivi toka mwaka 2007 unaandika hivi hivi au macho na mikono ndiyo imeanza kurudi vilikotoka?
 
Sura Yake Kama Nanasi( pineapple ) try to decorate pineapple .Akipaka make up its worse .ushawahi ona ako smile na selfie photo.Hizo pesa baadala ya kuwahonga wanaume achukue pesa abadilishe structure ya forehead na pua Yake isogezwe.she is ugly period
Teh Teh we Natalia...duu
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa JD bila kuwa na mme she's nothing, utaona kama atatunga wimbo wowote ndani ya miaka2😱

Unaona bila Gardener hata ile Nyumbani Lounge inaendelea???

Mwanamke bila mume is nothing kabisa

you are wrong very wrong''''
 
Hivi ukisema kitu flani kizuri au kibaya unakisema kitu chenyewe au akiyekitengeneza? JD alichagua aumbweje? taratibu bana.....

Teh Teh huyo Natalia ana kusumbua ....ungejua wala usinge hangaika kutoa lawama
 
Flora + Jide = wote ni failures. Mmeshindwa kuwa icons kwa wenzenu. Mnavyotoa ni visimgizio tu hamkujua maana ya ndoa? Ptyuuuuuu.

Story zao kama zinafanana kwa vile.....mbasha kwa flora ulikuwa mzigo kiaina.! Jide yeye ndo haitaki tochi kwamba kaoa.! Nyengine huwa si ndoa ni mifano tu.!
 
Yuyu dada nilikua namkubali sana, sikutegemea awe too low kiasi hiki kumponda ex wake kisa wametengana, anapost mipasho sana kwenye IG yake akidhani anamkomoa jamaa.

Atapotes very soon kwenye industry akiendekeza upuuzi huu, mana kiuimbaji ameshachuja kitambo, kinachombeba kwa sasa ni heshima aliyojingea ambayo ameanza kuibomoa!
 
Back
Top Bottom