2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Ni kweli mkuu. Huwa sipendi kusoma mambo ya watu lakni comment yako imenivutia. Ni kweli mafanikio ya jide hayakuletwa na jide mwenywe hata gadna yupo kwenye mafanikio hayo. Mimi nathani wangeongea tu yaishe. Wawe marafiki wa kawaida. Kuna sometimes unahisi umfeel mtu tena laknj sio kwamba humpendi. Sisi wanaume tunayo hio kitu.
Well said mkuu. paulo kilaki anasema hapo juu, elimu ya jide ni finyu sana. Nsmi nskubalisna nae, kwani Kila neno tusemalo lina gharama.Jide kama angekuwa na elimu angetakiwa kutazama hilo kabla hajakurupuka kuanza kuchafua Sifa ya Gadner.
manake kuna
Leo na kesho. Unaweza itwa mpumbavu ikiwa utamrudia uliyemtusi hadharani. Hata hivyo si heshima kumchafua X wako.
Sisi ni binadamu sio tuna mapungufu yetu na hii ni hali ya kawaida. Itakuwa aibu sana kwa jide aje aachane na mwanamme mwingine huko mbeleni.
Jide angetakiwa kujua ameshazeeka sasa.
Last edited by a moderator: