Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

Leo tutaiangalia kwa harakaharaka keno inachezwaje ili kuwapa mwanga wale wasiojua huu mchezo unachezwaje na baadhi ya trick(s) unazoweza kutumia ili kujishindia pesa.
Utangulizi.
Keno ni mchezo wa bahati nasibu aina ya lottery.mchezo huu ulianzia china zamani kwenye miaka ya 180 na kuanza kuenea taratibu mpaka bara la America na hapo ndipo mchezo huu ukaanza kupata umaarufu mkubwa.
Mchezo huu unahusisha namba,ambapo kunakuwa na namba kuanzia 1 mpaka 80 na kunakuwa na mizunguko ambapo kila mzunguko zitatoka namba 20 Kati ya 60,hivyo basi wewe utatakiwa kubashiri ni namba zipi zinatoka na zipi hazitoki kati ya hizo namba 20.
Mfano;
57b7702ff1cfb124af332b5d371f2325.jpg

Kwa mizunguko(rounds) katika keno huwa ni kila baada ya dakika 4,ambapo zitatoka namba 20 na zitazuiliwa namba 60 hivyo kama ulitabiri namba mfano 2 na 75 zitoke na hizo namba zikaonekana kwenye hizo namba 20 zinazotoka,utakuwa umeshinda..na kama hizo namba hazikuonekana kati ya hizo namba 20 hapo utakuwa umekosea kubashiri.
"RANDOM NUMBER GENERATOR"(RNG) ni mfumo unaotumika kutoa namba ambapo namba zinatolewa zikiwa hazipo katika mpangilio sahihi.
Mchezo huu unaweza kuchezwa kwa kuzuia namba,kutoa namba ...nk
*Kutoa namba (DRAWN NUMBER).
hapa kuna kitu kinaitwa "odds" yaani ni points zinazokuja kulingana na idadi ya namba ulizo bashiri.
Mfano;
*Ukibashiri namba moja inakuja odd ya 3.60
*namba zikiwa mbili ......inakuja odd ya 14.00
*namba zikiwa tatu ...................odds=60.00
*....................nne ....................odds=275.00
*....................tano ..................odds=1400.00
*....................sita .....................odds=6500.00

Yaani kama ukibashiri namba moja itoke na mfano ukaweka kiasi cha shilingi 2000,ina maana utazidisha hicho kiasi na odds husika 2000*3.60=7,800
Mfano ninabashiri namaba 2,76 na 23 zitoke alafu nikaweka sh.1000 maana yake nitazidisha kiasi ninachotaka kuweka dhidi ya odds husika yaani 1000(60.00)=60,000/= nk nk

KUZUIA NAMBA;
pia unaweza kuzuia namba ambapo unaweza kuzuia mpaka jumla ya idadi ya namba 9 katika kila mzunguko.
Chini ni idadi ya namba na odds zake...
1..............odd(s)=1.20
2..............odd(s)=1.60
3..............odds =2.00
4......................=2.70
5......................=5.00
6......................=7.00
7......................=9.50
8......................=13.00
9......................=18.00
Yaani kama ukizuia mfano namba 31 na 74 na ukaweka kiasi mfano 40,000/= utazidisha kiasi 40,000 na odds husika ambayo ni 1.60 kwa idadi ya namba mbili ....itakuja 64,000/=
Nina imani mpaka kufikia hapo wale waliokiwa hawana idea watakuwa wameshapata kitu japo kwa juu juu ...
Japokuwa mchezo huu unaendeshwa kwa mfumo wa RNG,lakini kuna tricks unazoweza kuzitumia na kuibuka mshindi kirahisi kabisa.
Watu wanatakiwa kujua yafuatayo;
1)mchezo huu huwezi kuwa na uhakika wa hata 51% ya kushinda,pindi unapokuwa umebashiri idadi kubwa ya namba.
2)huwezi kushinda kama hujausoma vizuri mzunguko wake unakwendaje.

Nitakumwagia steps zoote unazotakiwa kuzifuata ili kuibuka na ushindi mrahisi pindi uchezapo mchezo huu.
NOTE;KAMA NI MVIVU BASI HUTOWEZA KWENDA SAMBAMBA NA HIZI TRICKS,JAPOKUWA NI RAHISI KUZITUMIA.
tricks zipo kama 12 na kila trick ina asilimia zaidi 70% kushinda.
NAOMBA TUWE SOTE MPAKA TRICKS ZOOTE 12 ZIMALIZIKE.

*Kwanza kabisa kwenye upande wa KUZUIA NAMBA.
Editing bado inaendelea ......

Kwanza kabisa inabidi tuzijue hizi mamba zifuatazo;
*CONSECUTIVE DRAWN NUMBERS...hizi ni namba zinazojirudia mfululizo...zinaweza kujirudia hata mara5 kila mzunguko.
*CONSECUTIVE NOT DRAWN NUMBER....hizi ni namba zilizojificha(namba zilizo katika kizuizi) Mara nyingi namba inakuwa katika kundi hili inapokiwa haijaonekana katika mizungiko kuanzia 9 mpaka 12 ...lakini kuna baadhi huwa hawazionyeshi katika kundi hili japo zinakuwa hazijaonekana katika mizunguko kadhaa.
*MOST DRAWN NUMBERS IN LAST 10 DRAWN...ni kundi lenye namba ambazo zimeonekana mara nyingi katika mizunguko 10..namba huonekana katika kundi hili pindi inapoonekana kuanzia mara5 katika mizunguko 10 and vice versa ...hapa pia nyingine huonekana mara nyingi zaidi.

*NJIA YA KWANZA UNAYOWEZA KUITUMIA KUZUIA NAMBA (vertical line marking),hii ni njia ambayo nimeigundua na kuipa jina hilo la vertical line marking(VLM)
d8fe6cc5abc9f0db0c4b184f08c4ca5f.jpg

Njia hii inakwenda sambamba na kumark line ambayo namba zake zote hazijatoka..INAWEZEKANA Kama umekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa keno basi utagundua kwamba katika kila mizunguko 10 basi kunakuwa na mizunguko kama 6 hivi ambapo kunakuwa na namba zilizofichwa katika makundi(groups) kwa mfano chemistry kwenye periodic table kunakuwa na elements ambazo zinakuwa allocated kwenye GROUPS AU COLUMN...sasa chukua hiyo idea na uilete hapa ambapo utaona kuna namba kuanzia 1 mpaka 80 na zipo kwenye mpangilio yaani tukisema twende kwa ma group's basi kutakuwa na magroup haya;
1=1 11 21 31 41 51 61 71
2=2 12 22 32 42 52 62 72
3=3 13 23 33 43 53 63 73
4=4 14 24 34 44 54 64 74
5=5 15 25 35 45 55 65 75
6=6 16 26 36 46 56 66 76
7=7 17 27 37 47 57 67 77
8=8 18 28 38 48 58 68 78
9=9 19 29 39 49 59 69 79
10=10 20 30 40 50 60 70 80
5d950f25c6e34b3423d825f90a70c33f.jpg

Mfano wa magroupS niliyo shade yaani group 1&3&7,sasa hapa kuna kitu ambacho wengi hawakijui kuhusu hii system...
Nakuletea rekodi ya michezo ya nyuma ili uelewe vizuri system inakuwaje,in ASCENDING ARRANGEMENT
17b675778479a48b3dbfe07b13fe68f5.jpg
53c3cee35488d41710d9c442a3a77dde.jpg
2391fe475caf1cb8b76dc27e907296f1.jpg
fe7b787892620c900414c6df4b6de181.jpg
f960489eee3ae213016aa04f2d03bb44.jpg
75278d178f080a43e433d6b73ec43e37.jpg

* NITAENDELEA KESHO *
-PLASMODIUM-
Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)
 
Na je Vip ..
Unafahamu jinsi ya kucheza poker ...Tuelekezane hapa ..wish kuufahamu mchezo huuu POKER
 
hii trick yako ina ukweli ndani yake, jana nimejaribu huu mfumo wako ki uoga na japo nilijiongeza kidogo nilifanikiwa, katika mikeka minne ambayo kwangu ndio mara ya kwanza na niliweka mia tano kwa kila mkeka nilishinda yote japo ilitoka 1800 kwabkila mkeka...huu ni mrejesho
 
Nina maswali matatu kwako je waweza kunipatia namba yako ya simu?
 
jamaa tricks zake ziko poa ukijiongeza, leo pia nimetoa mikeka 10 kwa jelo jelo nimefeli mmoja, ila uwe unajiongeza ukikopi na kupaste inakula kwako.
 
Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)
sasa kwann uquote uzi mzima?
 
ingawa nimeuona leo nimeuelewa kidogo....ngoja nikatafute ktabu cha mathematics topic ya PROBABILITY ...easy to WIN
 
Mkuu hebu tupe walau ushuhuda kidogo,kupitia maswali haya hapa..
Je tangu uanze kucheza huu mchezo umefaidikaje ?
Katika kupiga hela(ulipo shinda),
Je ni kiasi gani kikubwa cha Pesa ulichowahi kushinda?
 
jamaa tricks zake ziko poa ukijiongeza, leo pia nimetoa mikeka 10 kwa jelo jelo nimefeli mmoja, ila uwe unajiongeza ukikopi na kupaste inakula kwako.
Mtu kaaza kufundisha kwa uwazi na formular katoa kwa manufaa ya kila mmoja, wewe unaitumia formula hiyo na ku advance ku generate formular nyingine unayoiita " KUJIONGEZA" na unaonya kuwa usipoifuata hiyo " KUJIONGEZA " inakula kwako. swali kama yeye angekuwa mchoyo kama wewe hata hiyo kujiongeza ungeijua? kwanini kama kuna kitu umekigundua cha kuboresha usikiweke kwa manufaa ya kila mwenye interest na mada hii?
 
Watu huku naona wana vichwa vyepesi sana vya kuelewa na mimi najiuna ni mzito sanaa kuelewa hata mfano rahisi.

1. Mfano nilikuwa sambamba naye alipoanza kufafanua vertical line

2. Nimeangalia nature ya namba alizozungushia nikaona zinafanana lakini nikashangaa mbona huo mstari wa 5 na 9 ameuruka wakati zinafanana na alizozungushia?

3. Katika mifano ya michezo ya nyuma aliyoitoa hakufafanua zina mahusiano gani na hizo namba alizozizungushia kwenye contol yake. Hivyo nimetoka kapa kabisaa ,,,, mimi ni ubongo wa panzi kweli kweli ila nawapongeza wote mlioelewa kirahisi namna hiyo na kuanza kutoa pongezi na hata ushuhuda wa kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom