Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituo vyote vya Playmaster , Meridian na premier mara nyingi ni makao makuu . Au ukiwa na application ya Meridian unaweza bet online kupitia simu yako au laptopSasa mkuu huu mchezo unachezewa wapi?
Unapewa mara mbili ya hela ulotoa, mfano umetoa jero unarudishiwa bukuhivi nikichagua namba 3 zitokeze, kisha zikatokeza 2 hapo nimeliwa mazima au kuna mzigo napata.
Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)
nijifunze hili game linaonekana zuriUnapewa mara mbili ya hela ulotoa, mfano umetoa jero unarudishiwa buku
Unapewa mara mbili ya hela ulotoa, mfano umetoa jero unarudishiwa buku[
Vituo vyote vya Playmaster , Meridian na premier mara nyingi ni makao makuu . Au ukiwa na application ya Meridian unaweza bet online kupitia simu yako au laptophizo namba za chini umezipata vipi?umeziwekea NTUnapewa mara mbili ya hela ulotoa, mfano umetoa jero unarudishiwa buku
HAKUNA CD......NI RANDORM NUMBER GENERATOR ndo inatoa number...hata uyu aliyetoa anaweza kujarbu kutusaidia jinsi ya kuzuia namba...LAKINI CIYO KUTUFUNDSHA EXACTLY KUWA ZINATOKAJEKeno ni CD zile zinawekwa. So ukicheza mda mrefu unakuwa unakariri race zile unajua kabusa haziwezi pita race sita bila ya 44 na 55 kutoka so ukiweka buku 2 kwa michezo mitano ikitoka 44 na 55 unakuwa na 28.000/
Hivi ndio unaweza kuifaidi keno hakuna cha hesabu wala nini. Au weka namba moja kwa hela nyingi then haipiti michezo mi5 bila ya kula na kurudisha hela yako. Ni hayo tu. Nabeti mpira na nacheza keno but keno imenipa hela nyingi kuliko soka ambalo watu wanasawazisha dkk ya 90 unabaki kutukana
ACHA KUDANGANYA..KAMA HUJUI JIFUNZE KWANZAMkuu siyo CD ile, zile namba zinakuwa selected promptly, kinachofanyika ni kwamba kuna machine zinazofanya assessment ya kila number pale bet inapokuwa placed, kwamba namba ambayo wengi mmeiwekea haitoki, ila ile wengi mliyosema itatoka haitoki.
Kuna watu behind the scene wanakuwa wanaamua ipi itoke ipi isitoke kwa kuangalia faida kwa upande wao.
wala sio sababu...maana unaweza cheza peke yako na ukala
mi nachezaga peke yangu kwenye computer na nakula.
[emoji27][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Daah, mnaongelea mchezo ambao jana nimekula 1.4M kwa buku,, tangu nianze kucheza keno sijafikisha kiwango kikubwa cha kula zaidi ya 30000, jana nikajipigapiga nikaropoka namba tano nikaweka buku, meridian manzese tiptop, namba hizi, 19,29,39,44,50. Zikatoka kama zilivyo, niliwehuka kama chizi, watu wa ganji wakanizunguka huku wadada wabetishaji wakinikonyezakonyeza, ilikua raha sana siku ya tarehe 15/1/2019.Meridian manzese tiptop Maxi 17.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana, naomba uendeleeLeo tutaiangalia kwa harakaharaka keno inachezwaje ili kuwapa mwanga wale wasiojua huu mchezo unachezwaje na baadhi ya trick(s) unazoweza kutumia ili kujishindia pesa.
Utangulizi.
Keno ni mchezo wa bahati nasibu aina ya lottery.mchezo huu ulianzia china zamani kwenye miaka ya 180 na kuanza kuenea taratibu mpaka bara la America na hapo ndipo mchezo huu ukaanza kupata umaarufu mkubwa.
Mchezo huu unahusisha namba,ambapo kunakuwa na namba kuanzia 1 mpaka 80 na kunakuwa na mizunguko ambapo kila mzunguko zitatoka namba 20 Kati ya 60,hivyo basi wewe utatakiwa kubashiri ni namba zipi zinatoka na zipi hazitoki kati ya hizo namba 20.
Mfano;
![]()
Kwa mizunguko(rounds) katika keno huwa ni kila baada ya dakika 4,ambapo zitatoka namba 20 na zitazuiliwa namba 60 hivyo kama ulitabiri namba mfano 2 na 75 zitoke na hizo namba zikaonekana kwenye hizo namba 20 zinazotoka,utakuwa umeshinda na kama hizo namba hazikuonekana kati ya hizo namba 20 hapo utakuwa umekosea kubashiri.
"RANDOM NUMBER GENERATOR"(RNG) ni mfumo unaotumika kutoa namba ambapo namba zinatolewa zikiwa hazipo katika mpangilio sahihi.
Mchezo huu unaweza kuchezwa kwa kuzuia namba,kutoa namba, nk
Kutoa namba (DRAWN NUMBER).
Hapa kuna kitu kinaitwa "odds" yaani ni points zinazokuja kulingana na idadi ya namba ulizo bashiri.
Mfano;
*Ukibashiri namba moja inakuja odd ya 3.60
*namba zikiwa mbili ......inakuja odd ya 14.00
*namba zikiwa tatu ...................odds=60.00
*....................nne ....................odds=275.00
*....................tano ..................odds=1400.00
*....................sita .....................odds=6500.00
Yaani kama ukibashiri namba moja itoke na mfano ukaweka kiasi cha shilingi 2000,ina maana utazidisha hicho kiasi na odds husika 2000*3.60=7,800
Mfano ninabashiri namaba 2,76 na 23 zitoke alafu nikaweka sh.1000 maana yake nitazidisha kiasi ninachotaka kuweka dhidi ya odds husika yaani 1000(60.00)=60,000/= nk
KUZUIA NAMBA;
pia unaweza kuzuia namba ambapo unaweza kuzuia mpaka jumla ya idadi ya namba 9 katika kila mzunguko.
Chini ni idadi ya namba na odds zake...
1..............odd(s)=1.20
2..............odd(s)=1.60
3..............odds =2.00
4......................=2.70
5......................=5.00
6......................=7.00
7......................=9.50
8......................=13.00
9......................=18.00
Yaani kama ukizuia mfano namba 31 na 74 na ukaweka kiasi mfano 40,000/= utazidisha kiasi 40,000 na odds husika ambayo ni 1.60 kwa idadi ya namba mbili, itakuja 64,000/=
Nina imani mpaka kufikia hapo wale waliokiwa hawana idea watakuwa wameshapata kitu japo kwa juu juu.
Japokuwa mchezo huu unaendeshwa kwa mfumo wa RNG,lakini kuna tricks unazoweza kuzitumia na kuibuka mshindi kirahisi kabisa.
Watu wanatakiwa kujua yafuatayo;
1)mchezo huu huwezi kuwa na uhakika wa hata 51% ya kushinda,pindi unapokuwa umebashiri idadi kubwa ya namba.
2)huwezi kushinda kama hujausoma vizuri mzunguko wake unakwendaje.
Nitakumwagia steps zoote unazotakiwa kuzifuata ili kuibuka na ushindi mrahisi pindi uchezapo mchezo huu.
NOTE;KAMA NI MVIVU BASI HUTOWEZA KWENDA SAMBAMBA NA HIZI TRICKS, JAPOKUWA NI RAHISI KUZITUMIA.
Tricks zipo kama 12 na kila trick ina asilimia zaidi 70% kushinda.
NAOMBA TUWE SOTE MPAKA TRICKS ZOOTE 12 ZIMALIZIKE.
Kwanza kabisa kwenye upande wa KUZUIA NAMBA.
Editing bado inaendelea ......
Kwanza kabisa inabidi tuzijue hizi mamba zifuatazo;
CONSECUTIVE DRAWN NUMBERS, hizi ni namba zinazojirudia mfululizo, zinaweza kujirudia hata mara5 kila mzunguko.
CONSECUTIVE NOT DRAWN NUMBER, hizi ni namba zilizojificha(namba zilizo katika kizuizi) Mara nyingi namba inakuwa katika kundi hili inapokiwa haijaonekana katika mizungiko kuanzia 9 mpaka 12, lakini kuna baadhi huwa hawazionyeshi katika kundi hili japo zinakuwa hazijaonekana katika mizunguko kadhaa.
MOST DRAWN NUMBERS IN LAST 10 DRAWN, ni kundi lenye namba ambazo zimeonekana mara nyingi katika mizunguko 10. Namba huonekana katika kundi hili pindi inapoonekana kuanzia mara5 katika mizunguko 10 and vice versa, hapa pia nyingine huonekana mara nyingi zaidi.
NJIA YA KWANZA UNAYOWEZA KUITUMIA KUZUIA NAMBA (vertical line marking), hii ni njia ambayo nimeigundua na kuipa jina hilo la vertical line marking(VLM)
![]()
Njia hii inakwenda sambamba na kumark line ambayo namba zake zote hazijatoka.
INAWEZEKANA Kama umekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa keno basi utagundua kwamba katika kila mizunguko 10 basi kunakuwa na mizunguko kama 6 hivi ambapo kunakuwa na namba zilizofichwa katika makundi(groups) kwa mfano chemistry kwenye periodic table kunakuwa na elements ambazo zinakuwa allocated kwenye GROUPS AU COLUMN.
Sasa chukua hiyo idea na uilete hapa ambapo utaona kuna namba kuanzia 1 mpaka 80 na zipo kwenye mpangilio yaani tukisema twende kwa ma group's basi kutakuwa na magroup haya;
1=1 11 21 31 41 51 61 71
2=2 12 22 32 42 52 62 72
3=3 13 23 33 43 53 63 73
4=4 14 24 34 44 54 64 74
5=5 15 25 35 45 55 65 75
6=6 16 26 36 46 56 66 76
7=7 17 27 37 47 57 67 77
8=8 18 28 38 48 58 68 78
9=9 19 29 39 49 59 69 79
10=10 20 30 40 50 60 70 80
![]()
Mfano wa magroupS niliyo shade yaani group 1&3&7, sasa hapa kuna kitu ambacho wengi hawakijui kuhusu hii system.
Nakuletea rekodi ya michezo ya nyuma ili uelewe vizuri system inakuwaje, in ASCENDING ARRANGEMENT
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
*NITAENDELEA KESHO*
-PLASMODIUM-
Hongera kwa Ushindi!Daah, mnaongelea mchezo ambao jana nimekula 1.4M kwa buku,, tangu nianze kucheza keno sijafikisha kiwango kikubwa cha kula zaidi ya 30000, jana nikajipigapiga nikaropoka namba tano nikaweka buku, meridian manzese tiptop, namba hizi, 19,29,39,44,50. Zikatoka kama zilivyo, niliwehuka kama chizi, watu wa ganji wakanizunguka huku wadada wabetishaji wakinikonyezakonyeza, ilikua raha sana siku ya tarehe 15/1/2019.Meridian manzese tiptop Maxi 17.
Sent using Jamii Forums mobile app