Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)
 
Na je Vip ..
Unafahamu jinsi ya kucheza poker ...Tuelekezane hapa ..wish kuufahamu mchezo huuu POKER
 
Betting ya mpira ndo naiamini na inanitosha kwasababu watu wanacheza uwanjani nawaona ila haya macomputer no free lunch in Africa
 
hii trick yako ina ukweli ndani yake, jana nimejaribu huu mfumo wako ki uoga na japo nilijiongeza kidogo nilifanikiwa, katika mikeka minne ambayo kwangu ndio mara ya kwanza na niliweka mia tano kwa kila mkeka nilishinda yote japo ilitoka 1800 kwabkila mkeka...huu ni mrejesho
 
Nina maswali matatu kwako je waweza kunipatia namba yako ya simu?
 
jamaa tricks zake ziko poa ukijiongeza, leo pia nimetoa mikeka 10 kwa jelo jelo nimefeli mmoja, ila uwe unajiongeza ukikopi na kupaste inakula kwako.
 
Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)
sasa kwann uquote uzi mzima?
 
ingawa nimeuona leo nimeuelewa kidogo....ngoja nikatafute ktabu cha mathematics topic ya PROBABILITY ...easy to WIN
 
Mkuu hebu tupe walau ushuhuda kidogo,kupitia maswali haya hapa..
Je tangu uanze kucheza huu mchezo umefaidikaje ?
Katika kupiga hela(ulipo shinda),
Je ni kiasi gani kikubwa cha Pesa ulichowahi kushinda?
 
jamaa tricks zake ziko poa ukijiongeza, leo pia nimetoa mikeka 10 kwa jelo jelo nimefeli mmoja, ila uwe unajiongeza ukikopi na kupaste inakula kwako.
Mtu kaaza kufundisha kwa uwazi na formular katoa kwa manufaa ya kila mmoja, wewe unaitumia formula hiyo na ku advance ku generate formular nyingine unayoiita " KUJIONGEZA" na unaonya kuwa usipoifuata hiyo " KUJIONGEZA " inakula kwako. swali kama yeye angekuwa mchoyo kama wewe hata hiyo kujiongeza ungeijua? kwanini kama kuna kitu umekigundua cha kuboresha usikiweke kwa manufaa ya kila mwenye interest na mada hii?
 
Watu huku naona wana vichwa vyepesi sana vya kuelewa na mimi najiuna ni mzito sanaa kuelewa hata mfano rahisi.

1. Mfano nilikuwa sambamba naye alipoanza kufafanua vertical line

2. Nimeangalia nature ya namba alizozungushia nikaona zinafanana lakini nikashangaa mbona huo mstari wa 5 na 9 ameuruka wakati zinafanana na alizozungushia?

3. Katika mifano ya michezo ya nyuma aliyoitoa hakufafanua zina mahusiano gani na hizo namba alizozizungushia kwenye contol yake. Hivyo nimetoka kapa kabisaa ,,,, mimi ni ubongo wa panzi kweli kweli ila nawapongeza wote mlioelewa kirahisi namna hiyo na kuanza kutoa pongezi na hata ushuhuda wa kufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…