Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

Keno ni CD zile zinawekwa. So ukicheza mda mrefu unakuwa unakariri race zile unajua kabusa haziwezi pita race sita bila ya 44 na 55 kutoka so ukiweka buku 2 kwa michezo mitano ikitoka 44 na 55 unakuwa na 28.000/
Hivi ndio unaweza kuifaidi keno hakuna cha hesabu wala nini. Au weka namba moja kwa hela nyingi then haipiti michezo mi5 bila ya kula na kurudisha hela yako. Ni hayo tu. Nabeti mpira na nacheza keno but keno imenipa hela nyingi kuliko soka ambalo watu wanasawazisha dkk ya 90 unabaki kutukana
 
Unaicheza keno kwenye mtandao upi?
 
Umebet kwenye mtandao gani?
 
Poa
 
hivi huwa wanatumia cd moja siku zote au wanabadidilisha ?
 
Mkuu siyo CD ile, zile namba zinakuwa selected promptly, kinachofanyika ni kwamba kuna machine zinazofanya assessment ya kila number pale bet inapokuwa placed, kwamba namba ambayo wengi mmeiwekea haitoki, ila ile wengi mliyosema itatoka haitoki.

Kuna watu behind the scene wanakuwa wanaamua ipi itoke ipi isitoke kwa kuangalia faida kwa upande wao.
 
wala sio sababu...maana unaweza cheza peke yako na ukala
 
wala sio sababu...maana unaweza cheza peke yako na ukala

Huwezi kucheza peke yako mkuu, keno inachezwa dunia nzima, hii unayoiona bongo ndo hii hii wanayocheza US, UK na China na kwingine kote, namba ikitoka hapa bongo ndo hii hii iliyotoka Ulaya na kwingine kote na muda ni huu huu na race ni hii hii.
 
wala sio dunia nzima myfriend. ni hapa hapa bongo. zile race mimi nimeshazikariri kiukweli keno haijanipa hasara kabisa kuliko haya mamikeka ya mipira ambayo mtu anasawazisha dakk ya 90. keno inanifanya nisishike mshahara kabisa sometimes.
 
Okay.
 
Kaka INA maana utajuaje race wakati umekutia kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…