Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

hivi nikichagua namba 3 zitokeze, kisha zikatokeza 2 hapo nimeliwa mazima au kuna mzigo napata.
 
Safi saana Kaka Napenda Michezo ya akili namna hii ..
Umenikumbusha Mchezo mmoja wa Casino hautofautiani saana na huu japo wenyewe Unapewa Option nyingi. Mfano Black Or red Numbers , Even or Odds , 1st,2nd or 3rx line na Mengineyo. (RUSSIA ROULETTE)

Mkuu natama trick na tips za huu mchezo naupenda balaa
 
HAKUNA CD......NI RANDORM NUMBER GENERATOR ndo inatoa number...hata uyu aliyetoa anaweza kujarbu kutusaidia jinsi ya kuzuia namba...LAKINI CIYO KUTUFUNDSHA EXACTLY KUWA ZINATOKAJE


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA KUDANGANYA..KAMA HUJUI JIFUNZE KWANZA

wala sio sababu...maana unaweza cheza peke yako na ukala


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah, mnaongelea mchezo ambao jana nimekula 1.4M kwa buku,, tangu nianze kucheza keno sijafikisha kiwango kikubwa cha kula zaidi ya 30000, jana nikajipigapiga nikaropoka namba tano nikaweka buku, meridian manzese tiptop, namba hizi, 19,29,39,44,50. Zikatoka kama zilivyo, niliwehuka kama chizi, watu wa ganji wakanizunguka huku wadada wabetishaji wakinikonyezakonyeza, ilikua raha sana siku ya tarehe 15/1/2019.Meridian manzese tiptop Maxi 17.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji27][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana, naomba uendelee
 
Hongera kwa Ushindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…